Mapato ya TRA mwezi Juni yatashuka

Umetoa post kimihemuko sana. Umeambiwa mapato ya bandari yamekusanywa bilion 400 na ni ongezeko kwani zamani walikua wakikusanya kati ya bilion 200 mpaka 300. Ungekua kiongozi wa UKAWA kesho ungewashawishi vijana kuingia mtaani kuandamana kumbe mwenyewe hujaelewa
 
Hivi wewe Lizaboni ulitelekezwa na baba yako utotoni? Mbona hupati ukuu wa wilaya miaka nenda miaka rudi?
Hawrzi kupata kazi zaidi ya ya ile ya kupika chai lumumba kwani elimu yake ndiyo imeishia hapo
 
Kuna uzi mpya humu kuhusu mapato ya Juni. 1.4 trillions!
 

Harudii tena. Msamehe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…