mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,562
- 2,493
Ngoja Zitto aje na takwimu zake
Utashangazwa zaidi ukifika kwa hao wakulima wanaoitwa wa KOROSHO hali zao duni kupitiliza
Acha kuleta hadaa kwa kupitia zao la korosho, ambako huko huko wanakolima korosho baadhi yake ofisi za walimu ni miti ya mikoroshoWewe usiyefanya siasa lete uchambuzi wako.!