Mapato ya Korosho yafikia Sh Trilioni 1. 08

Mapato ya Korosho yafikia Sh Trilioni 1. 08

Kwa wazelendo wa kweli kama mimi

Ila kwa wasaliti, vibaraka wa wazungu na wasaka madaraka kwa nguvu (Zito, Mgonjwa Tindu, DJ Mboe, Fisadi Luwasa) kwao habari kama hiyo si jambo jema kwani huwapunguzia ajenda za kupigia kelele
Huwezi kuwaona hapa zaidi ya kujiibulia vitakwimu feki vya kutafutia kiki.
 
Kumbe hela wanazo lakini hawataki kunilioa hela zangu? Mm mbona sujalipwa mpaka sasa?
Wakulima wengi sana hawajalipwa. Wengine wanadai pesa za tangu misimu iliyopita lakini mpaka leo wanazungushwa tu.
 
Zungumzia sekta ya KILIMO nchini sio kuzungumzia zao moja la korosho Ebo!
sekta ya Kilimo IPO uvunguni mwa kitanda cha plastiki.

Agrarian Revolution in Europe haikutokana na zao moja tu, bali mazao mengi ya kilimo. Sasa wewe unatuletea hadaa na mbwembwe za ajabu ajabu na kutupotezea malengo kama Taifa. Huu uchumia tumbo ni hatari kwa vizazi vya aina yako!
Nilijua tu lazima VIRUSI vivamie uzi.
 
Utashangazwa zaidi ukifika kwa hao wakulima wanaoitwa wa KOROSHO hali zao duni kupitiliza
usemacho ni kweli sawa na wakulima wa tumbaku yaaani maisha duni mpaka unaogopa. alafu unasikia zao limeingiza kweli.
 
Itabd niwaulize ma bwana shamba kama korosho inakubali Moro.
 
Kwa wazelendo wa kweli kama mimi

Ila kwa wasaliti, vibaraka wa wazungu na wasaka madaraka kwa nguvu (Zito, Mgonjwa Tindu, DJ Mboe, Fisadi Luwasa) kwao habari kama hiyo si jambo jema kwani huwapunguzia ajenda za kupigia kelele
Andika yako na mawazo yako itakuwa mna asili ya ukichaa/ uendawazimu kwenu. au ulizaliwa ktk mazingira ya utapia mlo mkali sana ulioharibu makuzi yako na ubungo wako.
 
Sasa ivi Korosho ndio habari ya mjini. Kwa utafiti inaonekana korosho inakubali Tanzania nzima, apa Mwanzo mwisho hakuna shida, sema wazungu wasilete figisu figisu tuuu, Maana hawakawiii kusema Mara zinatumia madawa mengi
 
Wananchi wa Mkoa wa lindi na Mtwara wamesha pokes sh Tirrilion moja baada ya kuuza kosrosho zao kwa mnada uliowazi na wakaingiziwa pesa zao kwenye account zao moja kwa moja ili kuondoa wadokozi wa vyama vya ushirika. Nilikuwa nashangaa ukienda vjijini vya mikoa hii watu ni furaha tu nakumpongeza mh Magufuri kwa kuwasidia kupata bei nzuri. Kwanini Pwani na Tanga hawafufui mashamba yao yakorosho ili kupata economic options za kupata mapato zaidi? kwani Mkoa wa pwani na Tanga wangeweza nao kuingiza one tirrioni mfukoni kama mapato mapya hivyo kupunguza kwa kelele za vyuma vimekaza. Wakulima wa korosho wa Lindi na Mtwara sasa mambo yao afadhali hongereni
 
Mahindi yapo wala wala mchele ndio usiseme ndio maana hatuna njaa.

Wewe na roho yako ya korosho nieleze eneo la kilimo lisilofanya vyema kwa sasa.
....Nielekeze soko la mahindi na mbaazi, zinaniozea
 
Serikali ya Kibaguzi hii

Wakulima wa Songea, Iringa, Mbeya na Manyara wamelima Mahindi na Maharage, MARUFUKU KUUZA MAZAO NJE

Bila kujali mtu ana magunia mangapi? Sasa mtu ana magunia mia 2, je atakula yote? Eti njaa

Wakulima Wa Lindi na Mtwara, RUKSA kuuza Korosho...KWANI KOROSHO SIO ZAO LA CHAKULA? HAZILIWI?

Wanyonge ndio Wananyanyaswa (Hakuna Mtetezi wa Wanyonge)

Matajiri kutishiwa na kesi fake ni faida gani kwa masikini?

Mafisadi gani au wapiga dili gani wamefungwa sasa?

Wapiga dili wameshatakatisha pesa zao, wamenunua majumba na asset, wanakula faida tu.

Masikini watabaki kushangilia hotuba za wivu tu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Serikali ingejitaidi kuwa mnunuzi wa izi nafaka, Maana wakulima akishakuwa na mahindi mengi na hakashindwa kuuza. Moja kwa moja anakuwa amepata hasara.
Lakini tatizo linakuja sehemu mmoja wakulima wengi wana elimu ndogo sana katika maswala ya bajeti na ndio Maana inapelekea MTU akawa na akiba ya chakula hakauza yote na akakosa akiba ya baadae. Tunatakiwa tuishi kwa akili na sio kuitegemea serikali kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom