Mapatano ya Raila Odinga na Uhuru Kenyatta yana maana gani ikiwa Miguna Miguna anazuiliwa kurudi Kenya ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,808
218,462


Bado sijaelewa kwanini Mh Raila Odinga hataki kumsaidia Mwanasheria wake Miguna Miguna kurejea nchini Kenya ikiwa kama kweli wame "Shake hand" na Rais Uhuru Kenyatta, kwa maana ya kumaliza tofauti zao.

Kuna nini nyuma ya pazia kuhusiana na sakata hili?
 
Huyo siyo Mkenya tena ni Mcanada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…