Mkuu mitanzania ilishakuwa brainwashed na mentality za kivivu za ujamaa ndio maana ni kulia Lia kulalama yaani ni shidaNi ujinga na upumbavu uliokithiri kuamini serikali itawezesha exportation. Nitajieni bidhaa moja ya mfani imesimamiwa na serikali na kufanikiwa!
Ukifuatilia historia ya avocado, kenya wamenza kuzilima tangu miaka ya 60 , sisi tumeanza lini ?
Kenya wanamasoko mengi kuliko TZ ila hawawezi kutosheleza soko kao huko nje. Wanamkataba na China kupeleka tani zaidi ya laki moja.
Wana kampuni za kupack vizuri sisi ndio juzi Rungwe kampan tena wazungu ndio wameanza ku process na wana heka 800 tu.
BBC wamesema Nigeria na kenya ndio zina export kwa wingi na Nigeria wanataka kuongoza export in coming ten years.
BBC kuna mkulima wamemuhoji wa uganda ana hekta 1000+, ni mzawa gani Tanzania ana shamba kama hilo ? Wengi vieka viwili (subsistance farming! ), ikizi heka 100.
Kenya wakisusa kuja kununua parachichi kutatokea anguko la bei baya kabisa.
Watanzania tuache kuongea vitu kishabiki bali tutumie data.
Avocado ni biashara inayoendeshwa na makampuni serikali yetu haina mchango wowote wa maana, hivyo watu wanatakiwa waanzishe makampuni ya kusafirisha nje na si kuwazuia wakenya au wachina na wazungu.
Matajiri wa Tanzania waione avocado kama fursa na ikiwezekana waanzishe baadhi ya viwanda hapa hapa Tz ili zisafirishwe product za avocado na si avocado.
Narudia tena serikali haina mchango wowote bali demand ndio imelazimisha kukua kwa kilimo hicho, hawana msaada.
Wakulima wajitafutie masoko kama walivyofanya wakenya, hakuna mwanasiasa wa kukutafutia masoko, hayupo.
Mkuu ukifuatilua you tube wakenya kwenye hii biashara wapo mbeke sana, tena wakinunua hawana masharti kama ya wazungu.Mkuu mitanzania ilishakuwa brainwashed na mentality za kivivu za ujamaa ndio maana ni kulia Lia kulalama yaani ni shida
Nimeuliza hata mimi kwamba serikali imemzuia Mtanzania ku export au?
Hii nchi lazima tuwe aggressive na tujifunze kwa hao wakenya na wachina
Wakenya wakijaga tu kununua mananasi kiwangwa bei zao ni nzuri kuliko wakina baresaHiyo ku export inakuaje Kazi ya wizara? Wanazuiwa vibali?
Acha ujinga,tunaiamcha wizara,usidhani hatujui chochote,kuwa makini na mdomo wako.!Nyie ni wajinga,kwanza hao wakenya wanasaidia wakulima kupata soko alafu wananunua kujazia pengo la kwao,kwa taarifa yako wanalima Sana tuu na ndio wamewafundisha wakulima kilimo cha parachichi.
Wasiponunua mtapeleka wapi sasa maana mpo badala ya kuchangamkia fursa mnapiga makelele na kulia Lia,hii nchi imejaa watu wajinga Sana walalamishi na wasio na suluhisho.
Hujui ulisemalo nyamaza.Ni ujinga na upumbavu uliokithiri kuamini serikali itawezesha exportation. Nitajieni bidhaa moja ya mfani imesimamiwa na serikali na kufanikiwa!
Ukifuatilia historia ya avocado, kenya wamenza kuzilima tangu miaka ya 60 , sisi tumeanza lini ?
Kenya wanamasoko mengi kuliko TZ ila hawawezi kutosheleza soko kao huko nje. Wanamkataba na China kupeleka tani zaidi ya laki moja.
Wana kampuni za kupack vizuri sisi ndio juzi Rungwe kampan tena wazungu ndio wameanza ku process na wana heka 800 tu.
BBC wamesema Nigeria na kenya ndio zina export kwa wingi na Nigeria wanataka kuongoza export in coming ten years.
BBC kuna mkulima wamemuhoji wa uganda ana hekta 1000+, ni mzawa gani Tanzania ana shamba kama hilo ? Wengi vieka viwili (subsistance farming! ), ikizi heka 100.
Kenya wakisusa kuja kununua parachichi kutatokea anguko la bei baya kabisa.
Watanzania tuache kuongea vitu kishabiki bali tutumie data.
Avocado ni biashara inayoendeshwa na makampuni serikali yetu haina mchango wowote wa maana, hivyo watu wanatakiwa waanzishe makampuni ya kusafirisha nje na si kuwazuia wakenya au wachina na wazungu.
Matajiri wa Tanzania waione avocado kama fursa na ikiwezekana waanzishe baadhi ya viwanda hapa hapa Tz ili zisafirishwe product za avocado na si avocado.
Narudia tena serikali haina mchango wowote bali demand ndio imelazimisha kukua kwa kilimo hicho, hawana msaada.
Wakulima wajitafutie masoko kama walivyofanya wakenya, hakuna mwanasiasa wa kukutafutia masoko, hayupo.
Umezungumza kweli tupu,Nilikuwa naangalia kwenyevgazeti moja la nje ,inaonyesha Kenya ni yavsita duniani kwa kuzalisha maparachichi huku Tanzania ikiwa haimo hata kumi bora.Wakati huo Kenya wanamakampuni yananunua nchini na kuyapeleka kenya.Wakifika huko wanayasafirisha nje kwa label yao!
sio maparachichi tu kuna karoti na nyanya na vitunguu saumu
Sio wakenya tunaikumbusha wizara ya kilimo mkuuMbona sioni kosa la Kenya? Kitu ukishauza siyo mali yako tena.
MAPARACHICHI YA TANZANIA YANAVYOUZWA NJE YA NCHI KWA KUPEWA URAIA MPYA
. Hii inatokana na juhudi nzuri za Serikali chini Hayati Dkt. Magufuli ][/I]
Ni kazi yake maana kwa uzembe wa serikali yake parachichi ya Tz sasa limekuwa la Kenya. Bora kaenda maana hata mlima kilimanjaro ungeishia kuitwa wa kenya.Kazi ya magufuli hiyo
Acha kupotosha wewe hasa kwenye parachichi, sio kila parachichi unaloliona hapaTZ, lina sifa ya kuuzwa ULAYA, na USA, tatizo letu watz, tunafikiria kila kitu tunachokila hapa , bora liende na huko ulaya ni hivyo tu?!kwenye ule mpango wa AGOA, tuliuweza? Parachichi zenye soko ulaya ni za aina ya HASS, hapa kwetu ukianza kuzitafuta hizo ni chache hasa, na ulimaji wake, hadi uvunaji wake lazima ufuate masharti ya soko huko.Wakenya kwenye haya mambo wako mbele sana (smart), sisi tunakalia tu mi mbengu ya kienyeji !!tena kwa kuaminishwa na wana siasa kuwa ndio nzuri!!MAPARACHICHI YA TANZANIA YANAVYOUZWA NJE YA NCHI KWA KUPEWA URAIA MPYA
Tanzania imejizolea umaarufu kwenye nchi za kiarabu kutokana na maparachichi yanayolimwa na kusafirishwa kutoka kwenye Taifa hili kuwa na ubora wa hali ya juu.
Pia Tanzania huzalisha maparachichi mengi kuliko nchi yoyote barani Afrika. Hii inatokana na juhudi nzuri za Serikali chini Hayati Dkt. Magufuli na aliyekuwa Makamu wake, Mhe. Samia Hassan (sasa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania).
Licha ya kuongeza uzalishaji wa maparachichi bora, chombo cha habari cha Ujerumani (DW) kinasema kwamba maparachichi yanayolimwa Tanzania hununuliwa kwa bei nafuu na wafanyabiashara wa Kenya kisha kuuzwa kwa bei ya juu huko barani Ulaya yakiwa na chapa inayosema Product of Kenya ama bidhaa iliyozalishwa Kenya, huo ni uzandiki. sio kweli.
Si hivyo tu, bali wafanyabiashara nchini Tanzania wamekuwa wakiyauza bei kubwa maparachichi bora yaliyozalishwa nchini kwa kuwadanganya raia kwamba eti maparachichi hayo yanatoka Burundi.
Hali hiyo, haijaishia kwenye parachichi tu, ukitembea kwenye Soko la Sabasaba jijini Dodoma hususan kwenye majengo mazuri, utajionea mchele mzuri wa Tanzania umeandikwa Mchele wa Zambia.
Jambo jingine, Njombe imekuwa ikizalisha matofaha (apples/peasi) bora katika miaka ya hivi karibuni lakini wafanyabiashara huyachukuwa yale yenye ubora mkubwa na kuyaweka stickers kisha huzichanganya na apples zinazotoka Afrika Kusini na kuyauza matunda hayo kwa Watanzania kwa bei kubwa. Kwa wastani apple kubwa lenye ubora mkubwa linatoka katika mkoa Mkoa wa Njombe huuzwa kwa shilingi 300-500 lakini wafanyabiashara wakishayachanganya na apples za S.A huyauza kwa shilingi 1000.
We need Magifulification in Agricultural Market! Hayati Magufuli alisimamama kidete kuhakikisha madini ya Tanzania yanauzwa kwa jina la Tanzania.
Ombi, Tunaziomba mamlaka husika ikiwemo Wizara ya Kilimo, Uwekezaji na viwanda na biashara na Taasisi ya utafiti wa Kilimo (TARI) zifikirie namna bora ya kuhakikisha mazao ya kilimo yanakuwa wakala mzuri wa kuitangaza Tanzania nje ya nchi ili kuongeza idadi ya watalii wanaokuja kujionea kilimo bora kilichopo nchini ikiwemo Kilimo cha maparachichi.
Patrick Sanga,
Mkulima, Njombe
Ficha ujinga wakoNi kazi yake maana kwa uzembe wa serikali yake parachichi ya Tz sasa limekuwa la Kenya. Bora kaenda maana hata mlima kilimanjaro ungeishia kuitwa wa kenya.
Ukweli mchungu hta mm alipomtaja mwendazake kanichefuaUmezungumza vizuri ila ulipomtaja Magu umepoteza maaana. Total rubbish.
Takataka
Najisikia kutapika!Daaah mtoa mada watu wamechafukwa huku😂😂😂