Mapambano dhidi ya ushoga nchini Tanzania

Mapambano dhidi ya ushoga nchini Tanzania

Kama ungekua na suluhisho huko Zbar, Pemba, mombasa na Tanga kusingekua na mashoga kabisa! Acha udini
Tanzania si nchi inayofuata Uislamu, Lakini Vatcan ni sehemu inafuata Ukristo na ulawiti unatokea tena kanisani kwa makadrinari
 
HAKI ZA BINADAMU SIO HISANI KUTOKA KWA SERIKALI AU JAMII AU KIKUNDI CHA WATU.

KILA BINADAMU ANA HAKI YA FARAGHA NA HAKI YA UHURU JUU YA MWILI WAKE, MADHALI HAJAVUNJA HAKI ZA MTU MWINGINE.

HAKUNA SERIKALI WALA KIKUNDI CHA WATU KINACHOWEZA KUPANGA MATUMIZI YA MIILI YA WATU.

KWA MSINGI HUO, VITA YA USHOGA NI MFU, NI BATILI, NA IMESHAKUFA HATA KABLA HAIJAANZA KUPIGANWA.
 
HAKI ZA BINADAMU SIO HISANI KUTOKA KWA SERIKALI AU JAMII AU KIKUNDI CHA WATU.

KILA BINADAMU ANA HAKI YA UHURU NA FARAGHA JUU YA MWILI WAKE, MADHALI HAJAVUNJA HAKI ZA MTU MWINGINE.

HAKUNA SERIKALI WALA KIKUNDI CHA WATU KINACHOWEZA KUPANGA MATUMIZI YA MIILI YA WATU.

KWA MSINGI HUO, VITA YA USHOGA NI MFU, NI BATILI, NA IMESHAKUFA HATA KABLA HAIJAANZA KUPIGANWA.
Ni lini binadamu walikubaliana kuwa hizo ndiyo haki za binadamu?
 
Sina muda wa kusoma bandiko refu kama hili la mleta mada. Hii vita ishashindwa kabla ya kuanza. Tukubali, Tukatae hawa jamaa mashoga wapo na tunapaswa kukubali haki zao. Maana si wapo?
 
Sina muda wa kusoma bandiko refu kama hili la mleta mada. Hii vita ishashindwa kabla ya kuanza. Tukubali, Tukatae hawa jamaa mashoga wapo na tunapaswa kukubali haki zao. Maana si wapo?
Kuna mjinga mmoja alisema eti ushoga ni teknolojia iliyovumbuliwa marekani sisi tukafanya kuikopi tu!

Nikawa natafakari , kijana kama James delicious na wale wenzake wenye maumbo na haiba za kike walishushwa kutoka marekani?
 
Sina muda wa kusoma bandiko refu kama hili la mleta mada. Hii vita ishashindwa kabla ya kuanza. Tukubali, Tukatae hawa jamaa mashoga wapo na tunapaswa kukubali haki zao. Maana si wapo?
Uwepo wa kitu haimaanishi kuwa ni sahihi bali huashiria wakati fulani kushindwa kwa mfumo uliopo (ideology) kumsimamia binadamu
 
Tanzania si nchi inayofuata Uislamu, Lakini Vatcan ni sehemu inafuata Ukristo na ulawiti unatokea tena kanisani kwa makadrinari
Sasa mbona vitendo vya sodoma na gomora vimeshamiri sana maeneo ya pwani ambayo asilimia kubwa ya wakazi Wake ni waislam?
 
Habari za majukumu;
Binafsi huwa sipendi kukariri mstari umeandikwa wapi ila huwa napenda nikisoma kitu nakielewa na kukitunza kwenye akizi zangu. Leo usiku nimewaza jambo nikaona nilitete hapa. Naanza na mstari wa kwenye kitabu kinachoniongoza kiroho ili wote kwa pamoja tuujue mstari huo na baada ya hapo tuchukue hatua za dhati kuwanusuri vijana.
Nanukuhu ... "Mwanadamu mwenye heshima anapokosa akili anakuwa kama mnyama aliyepotea"
Hawa jamaa wanaotenda vitendo vya ajabu wamewapita hata wanyama; sijawahi kuona mnyama dume akimpanda dume mwenzake; sijawahi kuona mnyama jike akijamiiana na jike mwenzake.
Tunapoyaona haya ni dhahiri kwamba kuna laana kwenye jamii - laana ya kutokujitambua. Wazazi, mashirika yasiyo ya kiserikali, dini zote tuchukue jukumu la kuifundisha jamii ijitambue ile isiwe zaidi ya wanyama waliopotea.
Ni hayo tu kwa leo!
 
hata kuandika andika au hata ku-post post thread za ushoga ni sawa na kuu-promote shogaa!

Mods futeni huu uzii....
 
hata kuandika andika au hata ku-post post thread za ushoga ni sawa na kuu-promote shogaa!

Mods futeni huu uzii....
Huo ni mtazamo wako! Ina maana hata yule dogo alojitoa front kuupinga alikuwa anaupromote?
 
Inajulikana tangu zamani mikoa ya pwani hasa Mombasa, Tanga, Zbar na pemba kumeshamiri sana vitendo vya ulawiti na mapenzi ya kinyume na maumbile. Sasa hapo utahusisha na ukristo kweli?!
Inajulikana tangu zamani mikoa ya pwani hasa Mombasa, Tanga, Zbar na pemba kumeshamiri sana vitendo vya ulawiti na mapenzi ya kinyume na maumbile. Sasa hapo utahusisha na ukristo kweli?!

https://googleweblight.com/iu=https...ancis-vatican-gay-priests-conspiracy&hl=en-TZ

Ushoga upo mpaka Vatcan kwenyewe
 
Wewe umeleta thread kuhusu tatizo la ushoga hapa nyumbani Tz ukasema suluhu ya tatizo la ushoga ni uislam na mm nikakutolea mfano kwamba kama uislam ni suluhisho, kwanini basi yale maeneo ya pwani ambapo kuna idadi kubwa ya jamii za kiislam, vitendo vya kishoga na mapenzi kinyume na maumbile vimeshamiri sana...
Unakuja kuniletea mambo ya Vatican! It doesn’t make any sense 🤷‍♂️
 
unless ur common sense is uncommon, umedai(bila ushahidi) kuwa sehemu zenye Waislamu zina ushoga nami nikakuhakikishia kuwa ushoga unakubalika ktk ukristo na hata hizo sehemu za waislamu mashoga wengi ni wakristo
 
Back
Top Bottom