toccara
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 540
- 203
kanunue shi ni perfume nzuri sana inauzwa 250 usd ila pia kwa tzsh inapatikana pale baridi kuna kaka wa kizungu anaduka lake pia kuna kenzo, pia perfume nzuri nzuri zaidi ni rolf flowerbomb ( ndiyo ninayotumia lazima utaipenda ni mojawapo ya best perfume in the world)