Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,678
- 63,273
- Thread starter
- #21
hujawahi kuona mzazi anachukia mtoto wake na anapenda wa mwingine?Ndio maana kuna uchaguzi ktk mapenzi,mwingine ana amini akiwa na fulani atapata watoto wa aina fulaniMtoto alizaliwa unamtelekeza vipi Mkuu!