mapacha wenye vipaji wanao soma havard

wacha tusubiri tuone, tuombe uzima kwa watakao kuwepo hai kama sio mchezo wa watu kutumia mlango wa nyuma kusomesha watoto wao kwa pesa ya umma.
 
Vipaji ni vingi sana tu vimezagaa huko mitaani,ila tu vimekosa JK wa kuviinua na kuviendeleza,naona kama twins hao wana play some role on behalf of somebody else's success,ndiyo mana sifa tupu zimetangulizwa mbele wakati wakiendelea kutafutiwa specific ground of their true purposes,unaposema somebody is Gifted you should also know the need of letting the open door for the masses to dig and see the gift inside them,so is for geniuses and talented,mtu anaangali tu exam result na ku conclude kwamba this one is-----ikija siku wakaboronga kwenye next paper tunakaa kimya kwa kuogopa kuonekanaa waongo,for they left no any trace in the ground to identify their talent,tusiwasifie for nothing,we need to push them a little more further.
 
Hii habari ilishaletwa hapa jamvini kitambo na mdau mmoja na ikathibitika ni usanii na ujanjajanja mwingine wa kibongo na ikasikitisha hata Sultan Mangungu nae alitajwa kuingizwa kingi ktk huu usanii. Lakini tusemeje? ndio nji yetu ilipofikia/
 
Mtu wa IT anashiriki kwenye upasuaji?? He he he, mie Tomaso bana


Hayo makubwa kwenye IT ni yapi?

 
Inawezekana wana vipaji maalumu kwani hata Waziri mkuu mstaafu F.T.Sumaye nae si alienda kusoma huko Havard! ha ha ha Tanzania bwana mambo meengi
 
Vipaji TZ ni vingi serikali yetu ni wavivu kuviendeleza, kwa mfano wananchi wengi wa leo wanazaliwa na vipaji vingi sana ila hakuna anayethubutu kiviendeleza vipajai hivyo.
 
Hata Hasheem thabeet walisema ana kipaji cha kucheza mpira wa kikapu akapata misifa kibao, leo hii yupo NBA hakuna lolote la maana anafanya.
Kama kweli hao vijana wapo Havard "USA", nawashauri hata wasiwaze kuja huku Umatumbini
 
Kwanini JK anawasomesha kwa "siri"?

Uwezo wao siyo wa manufaa sana maana upo kama wa ki-Nabii...! Wanafanya mambo ambayo mtu mwingine anaweza kuyafanya lakini kwa haraka za usahihi zaidi...! Ki-mantiki hawa siyo innovators...!
...may be tuspy huto tutoto...
 
...kuna mshikaji aliungaunga maskcrepa akatengeneza gari, jk hajamuona ...?
 
Hii story walisema ni.uongo.hao kila siku wanabadilisha
 
sio "wenyewe" bhana, si tuliambiwa wataonekana kwa mara ya kwnza magogoni!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…