mapacha wenye vipaji wanao soma havard

Nyamuleha jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
185
Reaction score
65
o level EINOTI SEC SCHOOL KAMA HASSAN AND HUSSEN KIBWANA A-LEVEL INASEMEKANA ILBORU CHUO HAVARD KAMA SYLIVANUS NA SALVANUS KWA SABABU ZA KIUSALAMA ZAIDI
 
Hivi wana vipaji gani? Huwa nawasikia tu
Sijasikia wamevumbua hata sindano

Only in Tanzania
 
Wavumbue hata kifungo tuwe proud of them jamani

Mie nawasikia tu sioni matunda

Mapacha hawana hata nusu ya umaarufu wa babu wa loliondo.hawana cha kuiunua tz,kama wanavipaji kwanini havijulikani? Au ni mimi pekee nisiyevijua?
 
Kuna mwenzao mmoja kutoka Siera Leone anayesoma huko M.I.T.amevumbua viungo bandia vitakavyowasaidia ndugu zake waliokatwa viungo wakati wa civil war huko kwao!!Kipaji chake kitawasaidia vilema wengi duniani.
 
Oh my god, hao ni GIFTED, wakuu sifa zao zimo katika mitandao mbali mbali.. wamejaaliwa Bongo lao kuwa fasta with Ubunifu flava... I wish them success and healthy lifu.
Proud of them tuombe na wengine wapatikane.....
 
Hivi wana vipaji gani? Huwa nawasikia tu
Sijasikia wamevumbua hata sindano

Only in Tanzania
kaka hao jamaaa ni noma nilisikia kutoka BBC siku moja kama mmoja anasoma Udaktari na mwenzake anasoma mambo ya IT lkn wanafanya kazi pamoja kwa kushirikiana mfano wa walishawahi kufanya upasuaji ambao ulikuwa gumzo hapo Havard na katika maswala ya IT Wameshafanya makubwa kinacho washangaza watu ni uwezo wao wa kufanya mambo pamoja ilihali kila mtu anafani yake
 
Kwanini JK anawasomesha kwa "siri"?

Uwezo wao siyo wa manufaa sana maana upo kama wa ki-Nabii...! Wanafanya mambo ambayo mtu mwingine anaweza kuyafanya lakini kwa haraka za usahihi zaidi...! Ki-mantiki hawa siyo innovators...!
 
Hivi wana vipaji gani? Huwa nawasikia tu
Sijasikia wamevumbua hata sindano

Only in Tanzania

Kwani shule za wenye vipaji bongo wanavipaji gani?

Kuna hata aliyevumbua godoro la katani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…