donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Inategemea, yule maza wa Uganda ana watoto 33 kama sikosei wote wa baba mmojaWanapendeza kwa kweli
Sidhani kama mama alizaa tena. Maana hapo unafunga kabisa na kizazi.
Mpaka raha, na huyo ni mama yao?