Maovu hawakutendewa Wapinzani pekee bali na wao wenyewe

Kafuta post,na kaandika meseji ya kuomba msamaha

hii nchi watu wana fear ya ajabu sana,hadi Vicky ana Fear!

Strange kabisa
Mkuu Wyatt Mathewson ,tatizo kubwa ni kuwa hakuna tofauti kati ya UVCCM/UWT/PoliCCM/TissCCM na serikali.
Ukiikosoa UVCCM, serikali inaingilia.
Ukikosoa kiongozi wa CCM, serikali inaingilia.
Kuna mstari mwembamba sana kati ya serikali na vyombo vya dola.
Kama kweli uhuru wa kutoa maoni ungekuwepo Tanzania, na vyombo vya dola visingekuwa vinatumika kuibeba CCM, amini nakwambia, CCM wangekuwa wameshaondoka madarakani au wamejirekebisha.
 
Tangu lini ccm iliwahi kuwa safi?
 


Kina @johnthebaptist, @Idugunde, @Kamanda Asiyechoka, @Elitwege, @Jumbe Brown, @mama D na wenzao watatokea kweli kwenye huu uzi?

Bila shaka wana u zoom na kujisemea - hiiiiii

Jamani eeh maendeleo hayana chama 😁😁!



Ndio demokrasia hiyo mkuu. Kwani wangapi wamekimbia chadema sababu ya ubinafsi wa viongozi. Au ushasahau🤔 Siasa ndivyo zilivyo

 
Lema anajua fika kuwa wezi na wapiga dili za hovyo walikuwepo pia CCM na mkono wa haki ukata pande zote, simple mathematics, huitaji majini ya Shekhe Yahaya kunajimu mambo wazi namna hiyo.
 
Lema anajua fika kuwa wezi na wapiga dili za hovyo walikuwepo pia CCM na mkono wa haki ukata pande zote, simple mathematics, huitaji majini ya Shekhe Yahaya kunajimu mambo wazi namna hiyo.
Unashindwa vipi kumpongeza mh Lema?
 
Hata huko CHADEMA JE? KUNA UHURU WA MAWAZO MBOWE UNAMUJUWA ALIMTUKANA LOWASA BAADAYE ALIMUPOKEA

HAKUNA KITU KILE CHAMA NI MALI YAKE
Hata kuandika kiswahili tu unashindwa, alafu wewe ndiye mtetezi wa jiwe. Kwa akili hizi nadiriki kusema wewe na Jiwe ni kitu kimoja
 
Jiwe alisema angeua upinzani, mwisho wa siku akafa yeye nchi ikapona. Mungu fundi sana, ukijifanya mungu mtu anakuita chap.
Daima Mungu hajaribiwi na kiumbe yeyote yule hata kwenye vitabu vuitakatifu imeandikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…