Kwa hakika kipindi cha awamu ya tano kilikuwa kipindi kigumu sana kwa watanzania wengi sio Wapinzani pekee bali hata ndani ya CCM. Ukisoma waraka wa huyu mama Vick Kamata Likwelile aliyekuwa mbunge wa CCM utanielewa nasema nini, na utagundua wale wanaomsifia "shujaa" wa kuchonga ni unafiki tuu au kutokujua na kujazwa propaganda kiasi kikubwa.
View attachment 1976158
Hawa ni mafara na wezi docta kafumu alikuwa fara sana ni fisadi sana hakuna alichokofanyia jimbo letu kafumu alistahili kufukuzwa chama
Chama kilikuwa na majizi hakuna mwizi anaweza kukaa na mwema ,
Lazima mwizi awe anajihisi tu sisi kwetu awamu ya tano ILICHOTUFANYIA TUNAIONA
SERIKALI YETU KIKWETE ALIIKABIZI KWA WATU FULANI
WALIKUWA HAWAGUSWI AWAMU YA TANO UTAWALA ULITUONYESHA KUWA WOTE TUKOSAWA
NYIE AKINA KAFUMU MLIZOEA SERIKALI KUIWEKA MFUKONI HATA KUCHANGIA KWENU ILIKUWA KWA KEJELE NA KUTETEA MAMBO YENU NDIO MAANA MLIKUWA HIVYO
MAFARA SIKU ZOTE HUWA WANATAFUTA MAMBO YAKO
SERIKALI YA AWAMU YA TANO ilitafuta watu wapya wengi sio mwendelezo wa serikali kumilikiwa na kikundi cha akina fulani saivi tunawaona wanarudi sasa ila nao wao walishajua hii nchi ni yetu sote
Hatuwezi kutengeneza serikali ya watu fulani tu nadhani KAFUMU ALIPATABALICHO STAHILI
KUHUSU WAPINZANI tunaitaji watu wapya sasa upinzani alioufanya mbowe mwaka 2007 ana akaeleweka umezoeleka sana hoja zao zote awamu ya tano ilizifanyia kazi
Rushwq ili kwisha sana , watumishi serikalini walifanya kazi vizuri,ccm ilijipambanua kila mtu siku hizi anaipenda ccm , kwenye madini tulubadilisha mikataba kidigo , kwenye michezo simba ilienda robo fainali mara mbili taifa STAR IKAENDA AFUCON,
MIUNDO MBINU ILIKUWA INAISHA KWA WAKATI ,ELIMU BURE , TOZO ZA WAKULIMA ZILIPUNGUA SANA , PEMBEJEO ZOTE WANAINCHI WALIPEWA BURE
CCM ILIBADILIKA SANA WANAINCHI NA MIGOGORO YA ARIDHI ILIPUNGUA SANA
UPIGAJI ULIISHA KABISA
SASA UNATAMANI NINI?
SAIVI MAMA ANAZUNGUKA TU NA NDEGEZA ZAMAA JE ?MBONA HAZIKUNUNULIWA VIPI VYOTE , TUMESHUDIA MELI ZIKIJENGWA TULENI YA KWENDA MOSHI NA KILIMANJARO MBONA HAZIKUELETWA
Nyie kuweni makini sana HUYU JAMA YUKO KWENYE MIOYO YA WATU ANAISHI acheni polojo zenu wapinzani kwenye nchi hii hatujaona mchango wao hata kidogo
Wapigaji tu majimbo walio yakalia wameyaacha magofu
Mwamba amejitahidi sana naomba muache ujinga leteni hoja sio mnatetea matumbo yenu nchi kwanza sio matumbo
Kafumu hana lolote walikuwa wapugaji