Maonyesho ya kilimo UDSM

Maonyesho ya kilimo UDSM

ceteris1

Member
Joined
Aug 29, 2016
Posts
71
Reaction score
32
IMEONA TANGAZO KWENYE GROUP LA WHATSAPP JUU YA UZINDUZI WA BIDHAA ZA KILIMO

MAHALI/;- chuo kikuu dar es salaam mkabala na UDASA Club.

SIKU:- JUMAMOSI,DESEMBA 10,2016.

Ila nimeshindwa kujua jinsi ya kushiriki mimi kama mjasiliamali na nimekosa kupata anwani zao ili kuweza kuwasiliana nao na kujua taratibu za kujiunga.

je kunamtu yeyote anae fahamu ?? nisaidie tafadhali.
 
Back
Top Bottom