Maono ya Mbowe miaka 10 iliyopita!

Maono ya Mbowe miaka 10 iliyopita!

Kama hujaona alichokifanya Mbowe CHADEMA, sikosei utakuwa ni mgonjwa. MTU mwenye akili timamu hahitaji hata kuuliza hilo swali.

baada ya miaka 10 , hali ni hii !
 
Attachments

  • 10413289_443379535821384_8736472890136950428_n.jpeg
    10413289_443379535821384_8736472890136950428_n.jpeg
    7.8 KB · Views: 528
  • attachment-1.jpeg
    attachment-1.jpeg
    8.4 KB · Views: 531
  • attachment-13-2.jpg
    attachment-13-2.jpg
    7.6 KB · Views: 525
  • attachment-14.jpeg
    attachment-14.jpeg
    8.1 KB · Views: 526
  • attachment-13.jpeg
    attachment-13.jpeg
    11.6 KB · Views: 506
CCM hamumpendi Mbowe kwa 7bu ndie amekiongoza CDM kwa mafanikio makubwa mpaka sasa hamlali, alikikuta chama kikiwa kinajikongoja akaja na mbinu ya helcopiter mwaka 2005 akawahenyesha ilipofika 2010 mkaiga lakin bado mkanyang'anywa majimbo zaidi ya arobaini, na sasa anaongoza harakati za kuwang'oa magogoni. Poleni sana.
 
Mbowe amefanya nini Chadema zaidi ya kujimilikisha Chama kwa kukiondoa kipengele cha ukomo wa uongozi?

Akili zako za kuazima kamwe haziwezi kusitiri kichwa chako,hujielewi wala hujitambui ni shiiiiiida kwani unautaka wenyekiti wa chadema?mbona hukugombea nafasi hyo?au raha yako ni mbowe kutokugombea?
 
Akili zako za kuazima kamwe haziwezi kusitiri kichwa chako,hujielewi wala hujitambui ni shiiiiiida kwani unautaka wenyekiti wa chadema?mbona hukugombea nafasi hyo?au raha yako ni mbowe kutokugombea?

naendelea kuchunguza kama huyu laki si pesa ni mtu au ni machine imesetiwa , nipe wiki mbili tu , kila kitu kitafahamika .
 
baada ya miaka 10 , hali ni hii !

aseee maisha bora kwa kila mtz....Mbowe ni simba haswa yaani hakuna jitu lenye ujasiri kama yule ni aina ya akina Fidel sasa wanatoweka kwa kasi inabid alindwe haswa kama vifaru..ndio maana leo hii CDM mbele kwa mbele kwa kifup hanunulk yule
 
Mbowe is a real Tanzania politics professor.Hakika maneno yake yamedhihirika.
 
Kama hujaona alichokifanya Mbowe CHADEMA, sikosei utakuwa ni mgonjwa. MTU mwenye akili timamu hahitaji hata kuuliza hilo swali.
Kwa mtazamo wako huyo jamaa ukisoma post zake yuko timamu? Sie tunamwona kama Mr Bean
 
Mbowe alitoa kauli tena 2005 ya hakuna kulala mpaka kieleweke,
Kauli hii imewapa Wanachadema na watanzania kwa ujumla umoja na mshikamano ambao hata kabla ya uhuru haujawi kutokea. Chadema watu wana moyo sana wa kujenga chama... wanajitolea kweli kweli! wengine hata mchana hawali kwa sababu ya chadema... chini ya kauli ya kamanda mkuu wa anga kuwa HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE, kwa sasa kimeongezwa kipengele kingine IKIELEWEKA.... CHADEMA WAKO MAGOGONI
 
Mbowe habari nyingine Mungu azidi kumuweka kwani anawapa presha CCM.

Harakati zinaendelea adi kieleweke.
 
Mwaka 1992 Dola Moja ya Kimarekani ilikuwa sawa na Tsh 55.
 
Kama hajafanya lolote inakuwaje tena Maintarahamwe mnaendelea na kampeni zenu chafu za kuichafua CHADEMA na kutumia mabilioni ya pesa kupitia wasaliti ili muisambaratishe? Mnaogopa nini!?
Mainterahamwe yako Burundi kule kiongozi anakobadili katiba aendelee kuongoza. Hapa tanzania Interahamwe ni wale waliofanya kama Nkurunziza.
 
aseee maisha bora kwa kila mtz....Mbowe ni simba haswa yaani hakuna jitu lenye ujasiri kama yule ni aina ya akina Fidel sasa wanatoweka kwa kasi inabid alindwe haswa kama vifaru..ndio maana leo hii CDM mbele kwa mbele kwa kifup hanunulk yule
habari ndio hiyo mkuu .
 
Back
Top Bottom