Maono ya Mbowe miaka 10 iliyopita!

Maono ya Mbowe miaka 10 iliyopita!

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,449
Reaction score
283,760
Mei 8 , 2005 Freeman Mbowe , Mwenyekiti wa CHADEMA anaeleza kuwa Jakaya Mrisho Kikwete siku tatu zilizopita aliteuliwa na mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea Urais wa chama hicho.Hana ubavu wa kuibadili CCM na mfumo wake wa kiutawala ambao anasema umezorotesha maendeleo ya nchi.

Mbowe aliongeza kuwa watu walioshabikia uteuzi huu wa Kikwete watajuta atakapochaguliwa kuwa Rais .

Swali kwa wadau; Je, Mbowe ni kiona mbali au la? Kwanini ?
 
Mbowe amefanya nini Chadema zaidi ya kujimilikisha Chama kwa kukiondoa kipengele cha ukomo wa uongozi?
 
source ni gazeti la nipashe la leo mei 8 , 2015 ukurasa wa 24 kwenye kile kipengere cha ' leo katika historia '
 
Wakati anatamka hayo maneno Mbowe alikuwa anajenga CHADEMA ... Miaka kumi baadae Maisha ya Watanzania yemeendelea kuzorota Zaidi ... magumu Zaidi, fedha haina thamani ... Mbowe ni bonge la kiona mbali
mei 8 , 2005 Freeman Mbowe , Mwenyekiti wa CHADEMA anaeleza kuwa Jakaya Mrisho Kikwete siku tatu zilizopita aliteuliwa na mkutano mkuu wa ccm kuwa mgombea urais wa chama hicho , hana ubavu wa kuibadili ccm na mfumo wake wa kiutawala ambao anasema umezorotesha maendeleo ya nchi , Mbowe aliongeza kuwa watu walioshabikia uteuzi huu wa kikwete watajuta atakapochaguliwa kuwa rais . swali kwa wadau , je Mbowe ni kiona mbali au la ? kwanini ?
 
Wakati anatamka hayo maneno Mbowe alikuwa anajenga CHADEMA ... Miaka kumi baadae Maisha ya Watanzania yemeendelea kuzorota Zaidi ... magumu Zaidi, fedha haina thamani ... Mbowe ni bonge la kiona mbali
Mungu akulinde sana .
 
Kama hajafanya lolote inakuwaje tena Maintarahamwe mnaendelea na kampeni zenu chafu za kuichafua CHADEMA na kutumia mabilioni ya pesa kupitia wasaliti ili muisambaratishe? Mnaogopa nini!?

Mbowe amefanya nini Chadema zaidi ya kujimilikisha Chama kwa kukiondoa kipengele cha ukomo wa uongozi?
 
Kama hajafanya lolote inakuwaje tena Maintarahamwe mnaendelea na kampeni zenu chafu za kuichafua CHADEMA na kutumia mabilioni ya pesa kupitia wasaliti ili muisambaratishe? Mnaogopa nini!?

umeandika jambo zito sana !
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbowe amefanya nini Chadema zaidi ya kujimilikisha Chama kwa kukiondoa kipengele cha ukomo wa uongozi?

Kama hujaona alichokifanya Mbowe CHADEMA, sikosei utakuwa ni mgonjwa. MTU mwenye akili timamu hahitaji hata kuuliza hilo swali.
 
unaambiwa chenge yuko mbioni kufungua mashitaka ili asipelekwe mahakamani hadi kifo chake !

Ndo hivyo, atakuja kijana hana hata ajira, elimu ya kayumba na Mbwembwe eti CCM kiboko yetu, badala ya kusema kiboko yake yeye ambaye mbele ni kama nyuma na nyuma ni kama mbele NASHANGAAA SANA
 
Ndo hivyo, atakuja kijana hana hata ajira, elimu ya kayumba na Mbwembwe eti CCM kiboko yetu, badala ya kusema kiboko yake yeye ambaye mbele ni kama nyuma na nyuma ni kama mbele NASHANGAAA SANA

hapo sasa !
 
Back
Top Bottom