kingukitano
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,971
- 497
Jk is a Visionary Leader
Ni wazi Kikwete ni Kiongozi mwenye maono,
Wakatia akihutubia bunge maalum la katiba Mh Rais alitoa tahadhari juu ya jeshi kukamata dola na baadae kiongozi wa kijeshi kutaka kugombea na kuua kabisa mfumo wa kidemokrasi
Yametimia Misri baada ya Mkuu waajeshi kujiuzulu jeshini na,kutangaza hadharani kuwa anagombea urais wa Misri.
Kikwete alitoa tahafhari juu ya muundo wa Muungano wa serikali tatu ambapo jeshi litakua chini ya serikali ya Muungano isiyo na vyanzo vya uhakika vya mapato,.hivyo kuhatarisha serikali kwa uwezekano waapinduzi
Niliishi siku tatu bila microwave. Unaweza kuona ni jambo la kipuuzi, ila ilibidi nikainunue chapchap.Ni heri jeshi litawale kuliko serikali ya CCM maana tunajua siku jeshi litakapoamua kurejesha utawala wa kiraia, kutakuwa na uchaguzi huru na wa haki. Hakutakuwa na tume ya Uchaguzi ya CCM wala wachakachuaji wengine wa CCM.
Uhuru gani wa kufisidiwa kila uchao? Hivi kuna uhuru kweli chini ya utawala wa CCM? Mimi ninaona huyo ni mkoloni mweusi. Tulifukuza mweupe sasa tunatawaliwa na mweusi. Uhuru wa kweli tutaupata siku CCM itakapong'olewa madarakani.Niliishi siku tatu bila microwave. Unaweza kuona ni jambo la kipuuzi, ila ilibidi nikainunue chapchap.
Moral of the story .... kuna uhuru ulionao, ukiukosa utaona maisha ni magumu sana, ingawa ukiwa nao huoni umuhimu wake.
Chonde chonde kaka!
Uhuru gani wa kufisidiwa kila uchao? Hivi kuna uhuru kweli chini ya utawala wa CCM? Mimi ninaona huyo ni mkoloni mweusi. Tulifukuza mweupe sasa tunatawaliwa na mweusi. Uhuru wa kweli tutaupata siku CCM itakapong'olewa madarakani.
Niliishi siku tatu bila microwave. Unaweza kuona ni jambo la kipuuzi, ila ilibidi nikainunue chapchap.
Moral of the story .... kuna uhuru ulionao, ukiukosa utaona maisha ni magumu sana, ingawa ukiwa nao huoni umuhimu wake.
Chonde chonde kaka!
Ni heri jeshi litawale kuliko serikali ya CCM maana tunajua siku jeshi litakapoamua kurejesha utawala wa kiraia, kutakuwa na uchaguzi huru na wa haki. Hakutakuwa na tume ya Uchaguzi ya CCM wala wachakachuaji wengine wa CCM./!QUOTE]
Khaa!!! Kudadadeki kumbe mijinga ipo mingi humu
Ni wazi Kikwete ni Kiongozi mwenye maono,
Wakatia akihutubia bunge maalum la katiba Mh Rais alitoa tahadhari juu ya jeshi kukamata dola na baadae kiongozi wa kijeshi kutaka kugombea na kuua kabisa mfumo wa kidemokrasi
Yametimia Misri baada ya Mkuu waajeshi kujiuzulu jeshini na,kutangaza hadharani kuwa anagombea urais wa Misri.
Kikwete alitoa tahafhari juu ya muundo wa Muungano wa serikali tatu ambapo jeshi litakua chini ya serikali ya Muungano isiyo na vyanzo vya uhakika vya mapato,.hivyo kuhatarisha serikali kwa uwezekano waapinduzi
Ni wazi Kikwete ni Kiongozi mwenye maono,
Wakatia akihutubia bunge maalum la katiba Mh Rais alitoa tahadhari juu ya jeshi kukamata dola na baadae kiongozi wa kijeshi kutaka kugombea na kuua kabisa mfumo wa kidemokrasi
Yametimia Misri baada ya Mkuu waajeshi kujiuzulu jeshini na,kutangaza hadharani kuwa anagombea urais wa Misri.
Kikwete alitoa tahafhari juu ya muundo wa Muungano wa serikali tatu ambapo jeshi litakua chini ya serikali ya Muungano isiyo na vyanzo vya uhakika vya mapato,.hivyo kuhatarisha serikali kwa uwezekano waapinduzi
We boya baada ya kupambana na maisha ww unalalamika tu fursa ziko mingi sana sasa ww endelea kudanganywa na kina slaa huku wenyewe wanakula gud lyf
learn/remember the use of comma, fullstop, exclamation marks, question marks etc. your Score: 15%.+ 5 strokes!!!!!!
See me!!!!!!!!!!!!!!??????????????????