Jambo gani hilo mkuu lilitokea before October?Hakuna ataweza kuamini Kile Mungu anaenda kukifanya before October. 2025. Narudia tena hakuna atakaye amini. Mungu wa Taifa la Tz anajambo lake before October

mkuu barua ishasomwa ?au bado tusubiri...Mimi na subscribe tu kwenye thread hii ili nipate newsfeed hiyo 2025 barua itakaposomwa.
Hii ni kutokana na imani yangu kwa mleta mada.
Hata ya mkewe haijui mkuu? Sidhani 🤗Huyu TumainiEl ni tapeli tu hana nyeti yeyote anayoijua
Lord Denning kumbe tangu 2022 unafahamu kuwa Rais Samia ni hadi 2030? Mbona sasa unawadanganya nyumbu wenzako??Yohana wa Patmo hakumuua Ben Saanane
Huyu ni moja ya wauaji waliokuwa wanatumiwa na Mwendazake. Saivi kachanganyikiwa huamini kan Mwendazake aliyekuwa akimlipa kufanya ufedhuli hatupo. Kwa iyo amekalia ramli tu
Usimshangae sana ni msongo wa mawazo tu. Tu mshauri tu kuwa Samia ndo Rais wake Hadi 2030 na alikubali hilo