Yakitaifa?! Acheni kujidanganya hakuna hata mtanzania mmoja atakaeandamana zaidi ya wafuasi wa chadema.Haya si maandamano ya kisiasa mjomba , ni ya kitaifa .
Wenye uwezo mdogo wanadhani maandamano haya yataanzia Manzese hadi mnazi mmoja , La hasha !Hahaha, watu Wa chadema wananifurahisha sana.. Haya andamaneni mkimaliza rudini mkalale
Kumbe tena vipi[emoji33][emoji23].. Nna hamu sana hiyo siku ifike nishuhudie kwa macho yangu[emoji23][emoji23]Wenye uwezo mdogo wanadhani maandamano haya yataanzia Manzese hadi mnazi mmoja , La hasha !
Mkuu nipo Sydeney! Tutakutana, jamaa yangu kaniambia kibali kiko tayariNiko Australia, tumepewa kibali cha kuandamana, tunashukuru nadhani ujumbe utafika
I like your way of thinking.Makampuni ya simu watasema wanafanya ukarabati wa mitambo, TANESCO watasema wanakatabati Kinyerezi 4 na zaidi zaidi
Nani kasema kuwa haya ni maandamano ya chadema kama sio kil. Aza wwHahaha, watu Wa chadema wananifurahisha sana.. Haya andamaneni mkimaliza rudini mkalale
Hamna mwenye Akili timamu ataenda kufanya huo upuuzi.. Watakaofanya huu ujinga kama sio bodaboda basi vibaka.. Watu wenye majukumu yao hawawezi jipalia mkaaNani kasema kuwa haya ni maandamano ya chadema kama sio kil. Aza ww
Hivi kwanini masikini wengi ni waoga ?Hamna mwenye Akili timamu ataenda kufanya huo upuuzi.. Watakaofanya huu ujinga kama sio bodaboda basi vibaka.. Watu wenye majukumu yao hawawezi jipalia mkaa
Mambo (maneno) kama hayo ndiyo yanasababisha chuki na maandamano.CHADEMA SIO WATANZANIA?Yakitaifa?! Acheni kujidanganya hakuna hata mtanzania mmoja atakaeandamana zaidi ya wafuasi wa chadema.
Boda boda, Wasio na akili timamu na vibaka ni wengi sana ndugu. Watu wenye majukumu ni wachache sana. Hawa wakiamua kwa moyo mmoja kuandamana, hata wenye majukumu watasahau majukumu. Kwa Sasa ni mzaha tu lakini ikishindikana kudhibitiwa ikawa serious hata ww kama Una majukumu utayaacha na utaanza kufuatilia hatma ya hao wanaoitwa boda boda, wasio na akili na vibaka.Hamna mwenye Akili timamu ataenda kufanya huo upuuzi.. Watakaofanya huu ujinga kama sio bodaboda basi vibaka.. Watu wenye majukumu yao hawawezi jipalia mkaa
Ni haki ya Mgonjwa kujifariji. Hatakiwi kusubiri afarijiwe na watu wanaokuja kumuona.NGUVU YA UMMA HAIZUILIKI
Nina hakika ungekuwa Ujerumani au ulaya yote ungeandamana KENGE WEEhahahahahahaaa umeninifurahisha kweli. umenikumbusha ile kauli yenu ya mafuriko hayazuiliki kwa mkono. Mlitutetemesha kweli, maana hiyo kauli ukiidigest vizuri dah lazima utumbo utafute njia ya kutokea. Lakini kilichokuja kutokea hata ukoo wako waliwadharau sana kwa kampeni za nyuma ya keyboard. Nyambafu na UKUTA WENU
Zuma alitukana kila aliyemnyooshea kidole , leo yuko wapi ?Ni haki ya Mgonjwa kujifariji. Hatakiwi kusubiri afarijiwe na watu wanaokuja kumuona.