Maono - Watajaribu kuzima mitandao kuelekea 26/4/2018

Status
Not open for further replies.

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,793
Reaction score
284,881
Iko wazi sasa kwamba wametenguka na wamenyoosha mikono na wametambua kwamba NGUVU YA UMMA HAIZUILIKI , kiukweli wamechanganyikiwa kabisa .

Taarifa zinaonyesha kwamba njia pekee ambayo ni njia ya kienyeji na haitafanikiwa ni kujaribu kuzima mitandao kuelekea tarehe husika .

Too late !
 
Nchi kadhaa za ulaya , polisi wametoa vibali kwa waaandamanaji kwenda balozi za Tanzania huko. Pia vitapewa coverage kwenye local na international channels. Hili ni pigo takatifu kwao
Kama mzaha vile !
 
1.Rais ni mwongo maana aliongea tarehe 14/10/2017 kuwa kuna Watumishi wa Umma 59,000+ watapandishwa madaraja mwezi Novemba lakini hadi sasa hajapanda hata mmoja.

2.Rais alisema baada ya uhakiki kumalizika kutakuwa na maslahi bora kwa Watumishi wa Umma lakini hadi sasa wamepewa za uso.

Waandishi wa habari hizi hazifai kupamba kwenye front page maana sijawahi kuziona.

Kutoka hifadhi ya misitu ya Madihani
Mwanachama wa CCM.
 
Iko wazi sasa kwamba wametenguka na wamenyoosha mikono na wametambua kwamba NGUVU YA UMMA HAIZUILIKI , kiukweli wamechanganyikiwa kabisa .

Taarifa zinaonyesha kwamba njia pekee ambayo ni njia ya kienyeji na haitafanikiwa ni kujaribu kuzima mitandao kuelekea tarehe husika .

Too late !
hahahahahahaaa umeninifurahisha kweli. umenikumbusha ile kauli yenu ya mafuriko hayazuiliki kwa mkono. Mlitutetemesha kweli, maana hiyo kauli ukiidigest vizuri dah lazima utumbo utafute njia ya kutokea. Lakini kilichokuja kutokea hata ukoo wako waliwadharau sana kwa kampeni za nyuma ya keyboard. Nyambafu na UKUTA WENU
 
Haya si maandamano ya kisiasa mjomba , ni ya kitaifa .
 
Nchi kadhaa za ulaya , polisi wametoa vibali kwa waaandamanaji kwenda balozi za Tanzania huko. Pia vitapewa coverage kwenye local na international channels. Hili ni pigo takatifu kwao
trip hii kapatkanaa
 
Iko wazi sasa kwamba wametenguka na wamenyoosha mikono na wametambua kwamba NGUVU YA UMMA HAIZUILIKI , kiukweli wamechanganyikiwa kabisa .

Taarifa zinaonyesha kwamba njia pekee ambayo ni njia ya kienyeji na haitafanikiwa ni kujaribu kuzima mitandao kuelekea tarehe husika .

Too late !
Wakati wa mapinduzi ya Misri serikali ya Misri ilijaribu kuzima FB na Instagram walishukiwa na jamii ya kimataifa kama mwizi hadi wakaomba radhi.
 
hahahahahahaaa umeninifurahisha kweli. umenikumbusha ile kauli yenu ya mafuriko hayazuiliki kwa mkono. Mlitutetemesha kweli, maana hiyo kauli ukiidigest vizuri dah lazima utumbo utafute njia ya kutokea. Lakini kilichokuja kutokea hata ukoo wako waliwadharau sana kwa kampeni za nyuma ya keyboard. Nyambafu na UKUTA WENU
Kwani magu alishinda sasa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom