Unamtafuta atakayekufanya usilie
Namliza yeye kwanza!
utafanyaje ikiwa anayestahili kukufuta machozi ndiye anayesababisha ulie?
unalia ili iweje.......?......
Ntalie ili anifute....
utafanyaje ikiwa anayestahili kukufuta machozi ndiye anayesababisha ulie?