Mwanamuziki huyu anataka kuonyesha jinsi maisha yalivyokwenda juu kwa muda aliokuwa jela. Anatoa mifano michache sana ya gharama za maisha. Bei ya kipande cha sabuni anaitumia kupima bei ya vitu vingine; unga nk. Ataje kabisa vitu na bei zake.
Muziki (melody) ni nzuri, unaingia kichwani.Utatoka lini?