Maoni Yenu juu Ya Hili Tafadhali.

Maoni Yenu juu Ya Hili Tafadhali.

A salaam allekyum ndugu zangu waislamu,heri ya sikukuu,na wakristo wenzangu salamu kwenu nyote

Ipo hivi ndugu zangu nina Rafiki yangu kabisaa ambae nae ana mpenzi wake na huyo mpenzi wake tunafahamiana vizuri tu kupitia yeye rafiki yangu, sasa yeye rafiki angu na mpenzi wake wako mikoa tofaut kikazi na hivi karibuni huyo shemeji yangu tuliwasiliana nae na kunieleza ana mpango wa kuja mkoa niliopo na hana pahala pa kufikia na kuniomba afikie kwangu kwa mda wa siku tatu, awali nilimkubalia sababu hata mimi nina mpenzi lakini tupo mbali kidogo kulingana na majukum yetu.

Lakini baada ya kutafakari kwa u ndani ugeni huu kidogo nikapata mkanganyiko juu ya huu ugeni ni wa heri au wa majaribu sababu alikua na kawaida ya kuja huu mkoa niliopo lakini hafiki wala haji kulala kwangu sasa iweje leo?

Sasa Wapendwa kilichonifanya kuomba ushauri wenu je ni sahihi kwa mimi kumkaribisha huyu shemeji yangu kwangu? Kua mimi nilale sebuleni na yeye chumbani? Na kama haitoshi hivi karibuni amekua akinieleza mtu wake amekua mzembe hamtimizii mahitaji ya kimwili vizuri kama kutoa malalamiko kwangu.
Ndugu zangu mnishauri je nikubali kutenda wema kwa mgeni huyu kwa kumkaribisha kwangu? Au niachane nae nimpotezee asije kwa maslahi mapana ya utu wangu.

Maoni Yenu tafadhali....

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh mbunye ya bure unaomba ushauri au nawe ni lemutuz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna lolote mkuu ,huwezi kuja kuomba ushauri humu ili hali Unayemwita Rafiki yako HAJUI.

huo ni unafiki wa Hali yajuu sana !!

Najua hampendi ukweli ,ila ukweli ndo huoo.

Eti wanakushaur umtafune ndio wenye busara hahahahah .

ACHA UDANANDA...MIMI NITAKUONA WA MAANA IKIWA JAMAA YAKO UMEMSHIRIKISHA .
......Lkn hizi ni mbwembweee km zilivyo mbwembwe nyingine.

Mimi naww tuwe marafiki.......alafu uwe unawasiliana na dem wangu kimya kimya..mpaka demu wangu aje afikie kwako kimyankimya, akae siku tatu kimyakimya ,ndipo arudi????? ...and ninauhakika Hata Huyo demu hajawahi kuja ktk huo mkoa wako ,,maana km angekua keshawah, tayar jamaa angekua natarifa,, angekua anajua wapi dem anafikia ,na anaenda kufanya nn.

Acha mbwembwe
Uko sahihi bro inakera sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shemeji yako hauna mazoea nae sana ila ana ubavu wa kukuambia kuwa mchizi wako hamtimizii haja zake kimwili???
ndugu tafuta namna nyingine ya kunogesha hii stori ila si kwa namna hii.
 
Ushamkubalia afike kwako ndo waomba ushauri, ukimwambia asije atakuelewa vibaya, huenda hana hela ya kufikia lodge usifikirie upande mmoja tu, mpokee zikija mada za vishawishi viepuke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shemeji yako hauna mazoea nae sana ila ana ubavu wa kukuambia kuwa mchizi wako hamtimizii haja zake kimwili???
ndugu tafuta namna nyingine ya kunogesha hii stori ila si kwa namna hii.
Kweli anachemka! Inawezekana vipi shemeji ambaye huna mazoea nae aanze kukupa Siri ya kumhusu rafiki yako Kama huna mazoea naye? Chagua wimbo.
 
Kweli anachemka! Inawezekana vipi shemeji ambaye huna mazoea nae aanze kukupa Siri ya kumhusu rafiki yako Kama huna mazoea naye? Chagua wimbo.
Kweli mkuu wakumsamehe bure huyu, yaani kwa akili tu yachekechea mpaka anakusimulia mambo ya ndani kuna mawili hapo 1:Wamezoeana Sana 2:mmoja atakuwa ana faili Mirembe jazz hospital.
 
Hook up : Diamond platnumz}
asaa joo nijoo { i like it}
when i dance jogodo { i like it}
anh jinkolo jinkologo { i like it}
kouno lasotojo { i like it}
baby joo joo joo { i like it}
anh jinkolo jinkologo { i like it}
kifupa joghodo { i like it}
Uno lasotojo { i like it}
 
Back
Top Bottom