Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,301
fundi bishoo mwenye ndoto za kiwanda, huu ndio ushauri wako?tafuna nyapu iyo bradha ila kumbuka urafiki wenu utaishia hapo na mtaonana wabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
fundi bishoo mwenye ndoto za kiwanda, huu ndio ushauri wako?tafuna nyapu iyo bradha ila kumbuka urafiki wenu utaishia hapo na mtaonana wabaya
umri ni dawa, na nimeona kwako mangataraUkiwa huna nia mbaya hata akikaa siku 10 hutajinajisi jina lako bali utamlinda kwa sababu ya huyo rafiki yako. Yawezekana kakuheshimu sana na kukuona kuwa utamheshimu rafiki yako kwa kumlinda. Yu never know with women. They just trust like kids trusting their fathers when alone.
Tabia ni kama ngoziAngekuwa mchumba asingemtamani rafiki wa mpenzi wake, hilo la kwanza, pili ili mtu awe mchumba kuna taratibu zilizowekwa za kuhalalisha uchumba ambazo mwanamke huvikwa pete ili kumtofautisha na wanawake wengine ambao hawajaolewa, zaidi ya hapo ni uzinzi.
A salaam allekyum ndugu zangu waislamu,heri ya sikukuu,na wakristo wenzangu salamu kwenu nyote
Ipo hivi ndugu zangu nina Rafiki yangu kabisaa ambae nae ana mpenzi wake na huyo mpenzi wake tunafahamiana vizuri tu kupitia yeye rafiki yangu, sasa yeye rafiki angu na mpenzi wake wako mikoa tofaut kikazi na hivi karibuni huyo shemeji yangu tuliwasiliana nae na kunieleza ana mpango wa kuja mkoa niliopo na hana pahala pa kufikia na kuniomba afikie kwangu kwa mda wa siku tatu, awali nilimkubalia sababu hata mimi nina mpenzi lakini tupo mbali kidogo kulingana na majukum yetu.
Lakini baada ya kutafakari kwa u ndani ugeni huu kidogo nikapata mkanganyiko juu ya huu ugeni ni wa heri au wa majaribu sababu alikua na kawaida ya kuja huu mkoa niliopo lakini hafiki wala haji kulala kwangu sasa iweje leo?
Sasa Wapendwa kilichonifanya kuomba ushauri wenu je ni sahihi kwa mimi kumkaribisha huyu shemeji yangu kwangu? Kua mimi nilale sebuleni na yeye chumbani? Na kama haitoshi hivi karibuni amekua akinieleza mtu wake amekua mzembe hamtimizii mahitaji ya kimwili vizuri kama kutoa malalamiko kwangu.
Ndugu zangu mnishauri je nikubali kutenda wema kwa mgeni huyu kwa kumkaribisha kwangu? Au niachane nae nimpotezee asije kwa maslahi mapana ya utu wangu.
Maoni Yenu tafadhali....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ukimushirikisha huyo rafiki yako ni sawa.Sawa je ni sahihi mimi kumkaribisha mpenzi wa rafiki angu pasi na kutokuepo mambo mengne? Yaan tu kwa hali ya kawaida ni sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mtazamo wako si sawa na wanguKuna mambo hata sio ya kuanzishia uzi. Kwani Guest houses zipo kwa lengo gani?!
kabis kabisa mkuu ndo ushauri wangu huo
Wazembe hamtaisha dunia hii, yani unakuja humu kutuomba ruhusa ya kuosha rungu. Mkuu are you serious kweli?A salaam allekyum ndugu zangu waislamu,heri ya sikukuu,na wakristo wenzangu salamu kwenu nyote
Ipo hivi ndugu zangu nina Rafiki yangu kabisaa ambae nae ana mpenzi wake na huyo mpenzi wake tunafahamiana vizuri tu kupitia yeye rafiki yangu, sasa yeye rafiki angu na mpenzi wake wako mikoa tofaut kikazi na hivi karibuni huyo shemeji yangu tuliwasiliana nae na kunieleza ana mpango wa kuja mkoa niliopo na hana pahala pa kufikia na kuniomba afikie kwangu kwa mda wa siku tatu, awali nilimkubalia sababu hata mimi nina mpenzi lakini tupo mbali kidogo kulingana na majukum yetu.
Lakini baada ya kutafakari kwa u ndani ugeni huu kidogo nikapata mkanganyiko juu ya huu ugeni ni wa heri au wa majaribu sababu alikua na kawaida ya kuja huu mkoa niliopo lakini hafiki wala haji kulala kwangu sasa iweje leo?
Sasa Wapendwa kilichonifanya kuomba ushauri wenu je ni sahihi kwa mimi kumkaribisha huyu shemeji yangu kwangu? Kua mimi nilale sebuleni na yeye chumbani? Na kama haitoshi hivi karibuni amekua akinieleza mtu wake amekua mzembe hamtimizii mahitaji ya kimwili vizuri kama kutoa malalamiko kwangu.
Ndugu zangu mnishauri je nikubali kutenda wema kwa mgeni huyu kwa kumkaribisha kwangu? Au niachane nae nimpotezee asije kwa maslahi mapana ya utu wangu.
Maoni Yenu tafadhali....
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha bangi, Ongea na mchizi wako kama kweli ni mwanao !!
Inavyoonekana mmeshachatishanaaa sana namna hii
Wewe---- Jamaa Itakuaje
Demu wajama--- mmhh kwan utamwambia
Wewe-----siwezi mwambia ila akijua umefikia kwangu bila taarifa
Demu wajamaa-- hawezi kujua bana ,wacha nifikie kwako siku tatu basi .
KUTOKA KWANGU MIMI
[emoji117] Acha bangi zako, kama kweli unataka ushaur ,USHAURI WA KWANZA ULIKUA NILAZIMANUUPATE TOKA KWA RAFIKI YAKO KIPENZI , nasio kufanya mambo kibububu alafu uzuge kuja kutafuta Ushauri humu ili upate mawazo mfu ya kuhalalisha upuuzi unaotaka kumfanyia Rafiki yako.
Ulivyoandika sasa, utadhani kama mtu mwenye busaraaaaaa lkn hizo busara unashindwa kuzionyesha kwa Rafiki yako.
NINAJUA KAMA RAFIKI YAKO ANGEIJUA IYO SAFARI ,,,WALA USINGEKUJA OMBA USHAURI HUMU.
ALAFU NN, KUMUWAZIA UJINGA DEMU WA RAFIKI YAKO NIMOJA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZAKIUME !!!.
RAFIKI MDANANDA WEEE!!!!...nimimi alafu nikujue , najifanya nmechukulia poa, nikusogeze karibu, siku nikikulipa Naww utajiona Mavi .
Sitokuadhabu kwasababu demu naye ni mpuuzi, ila utaadhibiwa kwa kusaliti urafiki wangu na wewe.
Sawa sioni haja ya wewe kunipanikia kias icho isitoshe binti hajaja bado, na piah sina mazoea sana kama unavyodhani, isitoshe sivuti bangi ila nimeomba ushauri kwa waugwana humu.Stress zako hazinihusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani, jibu rahisi ni kumuepuka au msaidie afikie nyumba ya wageni (guest house) msaidie kumlipia la sivyo utahalalisha uzinzi kwani hata rafiki yako bado si mkewe. Inaweza tokea akawa wewe ndo ukaoa bila kutegemea akanogewa kwako, petro ktk biblia anatuhusia tuishi na wanawake kwa akili. Kazi kwako mkuu.Angekuwa mchumba asingemtamani rafiki wa mpenzi wake, hilo la kwanza, pili ili mtu awe mchumba kuna taratibu zilizowekwa za kuhalalisha uchumba ambazo mwanamke huvikwa pete ili kumtofautisha na wanawake wengine ambao hawajaolewa, zaidi ya hapo ni uzinzi.
Au jamaa mwenyewe ndo huyo kaona posti,kuwa makini brooSawa sioni haja ya wewe kunipanikia kias icho isitoshe binti hajaja bado, na piah sina mazoea sana kama unavyodhani, isitoshe sivuti bangi ila nimeomba ushauri kwa waugwana humu.Stress zako hazinihusu
Sent using Jamii Forums mobile app