Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Vijana wa Mbowe mna shida sanaTatizo alisifia CCM
Amna mkuu ndo ukwel baada ya hapo mienendo yake ilibadilika sana mpaka sisi wapenda soka ikatushtua sanaVijana wa Mbowe mna shida sana
Ni bora arudi Genk akajipange tena kama umri utaruhusuGenk wanamtaka Afrika harudi ng'oo
Sema hicho ni muhimu na tunashukuru awamu hii tunang'aa kila sehemu. Hiki ndo kishindo cha awamu ya 5Alivyokuwa Genk alisema msimfikirie sana yeye, kuna wanaoweza kuja wakafika mbali zaidi yake.
Kwangu kikubwa naona kaonyesha kuwa inawezekana na kwa kiasi pia tumekuwa kwenye ramani ya soka. Simdai hapo inatosha sana.
AiseeeeTatizo alisifia sana chama cha kijan nadhan tatizo lilianzia hapa
Unaona sasa unataka kuchafua Uzi wako wewe kambale wa kijaniSema hicho ni muhimu na tunashukuru awamu hii tunang'aa kila sehemu. Hiki ndo kishindo cha awamu ya 5
Mkuu usiwe mbishi kama shabiki wa Simba, wewe hujaona maendeleo awamu hii? Mfugale, Ubungo, Reli yakisasa, Laizer kupata Tanzanite, Ndege mpya 11, Hospital mpya, vituo vya Afya, Zahanati, Bandari zote kuboreshwa, Viwanja vya ndege, Kuhamia Dodoma, Mradi wa umeme wa Nyerere, Hifadhi ya Burigi Chato, Meli mpya na vivuko, Maboresho ya miji, Mbwana Samatta, Timu ya Taifa kufuzu AFCON, Tanzania kuingia nchi ya uchumi wa kati, Vidole vimechoka ku type yako mengi.Unaona sasa unataka kuchafua Uzi wako wewe kambale wa kijani
Malizia kabisa kuwa Tanzania imepata yesu mpyaMkuu usiwe mbishi kama shabiki wa Simba, wewe hujaona maendeleo awamu hii? Mfugale, Ubungo, Reli yakisasa, Laizer kupata Tanzanite, Ndege mpya 11, Hospital mpya, vituo vya Afya, Zahanati, Bandari zote kuboreshwa, Viwanja vya ndege, Kuhamia Dodoma, Mradi wa umeme wa Nyerere, Hifadhi ya Burigi Chato, Meli mpya na vivuko, Maboresho ya miji, Mbwana Samatta, Timu ya Taifa kufuzu AFCON, Tanzania kuingia nchi ya uchumi wa kati, Vidole vimechoka ku type yako mengi.
Daaa watu mna maneno aisee [emoji23][emoji23][emoji23].Malizia kabisa kuwa Tanzania imepata yesu mpya
Sisi wa huku mpitimbi tunapitwa na mengi aisee ndege zilishafika 11? Magu noma, zikifika 15 tujuze tenaMkuu usiwe mbishi kama shabiki wa Simba, wewe hujaona maendeleo awamu hii? Mfugale, Ubungo, Reli yakisasa, Laizer kupata Tanzanite, Ndege mpya 11, Hospital mpya, vituo vya Afya, Zahanati, Bandari zote kuboreshwa, Viwanja vya ndege, Kuhamia Dodoma, Mradi wa umeme wa Nyerere, Hifadhi ya Burigi Chato, Meli mpya na vivuko, Maboresho ya miji, Mbwana Samatta, Timu ya Taifa kufuzu AFCON, Tanzania kuingia nchi ya uchumi wa kati, Vidole vimechoka ku type yako mengi.
Kwenye Afya kuna hospitali 67 na vituo vya Afya 330+ vipya.Sisi wa huku mpitimbi tunapitwa na mengi aisee ndege zilishafika 11? Magu noma, zikifika 15 tujuze tena
Tatizo lilianzia hapaTatizo alisifia sana chama cha kijan nadhan tatizo lilianzia hapa