Maoni yako tafadhali kuhusu kondomu

Kondomu zipo zinatumika zaidi ya miaka 25 uliyotaja. matumizi yake huko nyuma ilikuwa ni moja ya njia za kupanga uzazi, yaani kuzuia mimba zisizotarajiwa. Matumizi yaliongezeka sana kwa haraka pale ulipozuka ugonjwa wa Ukimwi na vyombo vya habari kutangazia sana kuwa ni kinga dhidi ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa. Bei halisi ya kondomu iko juu ila asasi mbali mbali zinachangia gharama na hivyo kufanya kondomu iuzwe shilingi 100/= tu
 
Hiv utofaut wa bei za kondomu unamaanisha nn?mana ukienda pharmacy kila aina ya kondomu na bei yake..je na ubora upo hivyo hivyo????
 
UKIMWI hauzuiwi kwa rambo...badili tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…