Maoni ya Serikali tatu ni ya kishabiki na kinafiki

Maoni ya Serikali tatu ni ya kishabiki na kinafiki

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,419
kila mtu yupo huru kutoa maoni yake kwa hoja na sio matusi.

critically thinking ukichunguza wale wote wanaodai serikali tatu wamejaa ushabiki,uzandiki na unafiki....

kikubwa hapa ni watanzania kujiuliza ni aina gani ya Muungano tulio nao,nakumbuka bwana Mwakyembe (Mb) aliwahi kuelezea vema sana aina ya Muungano tulio nao.Ifahamike pia Muungano wetu ni wa mambo yasiyozidi saba (7) I stand to be corrected.

jambo la msingi kabisa hapa ni kujadili kile kinachoitwa kero za Muungano zinazotokana na mambo haya saba na sio kuunda kitu kipya kwa maana ya kusolve kero izo...

Muundo wa serikali mbili unaoondosha kero izo (either kwa kupunguza hayo mambo saba ya muungano yawe manne) ndio iwe suluhisho la aina ya Muungano tuutakao..

napatwa na mashaka sana na wale wote waliotoa maoni ya Muungano wa serikali tatu,ni mawazo yaliyojaa ushabiki na unafiki wa kutotaka kuwazua kwa kina hatima ya kile wanachokililia...nasema tena ni mawazo ya kishabiki ambayo mwisho wa siku wananchi hao watakimbia na kuiacha serikali ikijifia kwa zigo la garama za uendeshaji...

tukae tutafakari kwa kina mambo y amsingi kama huduma muhimu za shule,hospitali na maji namna ambavyo serikali itatufikia na sio kushabikia kinafiki kuongeza ukubwa wa serikali...

hata hivyo,robo tatu ya wajumbe imetimia na bunge la katiba linaendelea kama kawaida na katiba itapatikana tu!!na kwa vile wengi ni washabiki maandazi wataipokea tu na kuendelea na majukum yao y akila siku
 
Nilichogundua Jaji Warioba,
1.Mtu mpenda kusifiwa
2.Hapendi Kuona unapingana na kile anachoamini yeye.
3.Inaonekana kama ana chuki binafsi na utawala uliopo madarakani.
 
Ni zaidi ya hapo ni mawazo wa kipuuzi kabisa ambayo hayana msaada kwa taifa letu bali yanalengo la kuvunja taifa.
 
Binafsi sijaona wadai serikali tatu cha maana wanachotaka zaidi ya unafiki na ufinyu wa mawazo.
 
Nilichogundua Jaji Warioba,
1.Mtu mpenda kusifiwa
2.Hapendi Kuona unapingana na kile anachoamini yeye.
3.Inaonekana kama ana chuki binafsi na utawala uliopo madarakani.

na mawazo ya serikali tatu aliyainject yeye....asituzingue uyu mzee naona ameichoka nchi....kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kuruhusu mijadala ya kujadili serikali tatu vs serikali mbili.....maana lile lengo la msingi limesahaulika tumebaki kwenye vijembe...hawa UKAWA wanahofia kushindwa kwa hoja zao kutokana na uchache wao na CCM wanajivunia wingi wao...wote hawapo sahihi!!!usahihi ni kuweka kero za muungano mezani na kuzitafutia ufumbuzi bila kuathiri Muungano uliopo...hata mke akikuudhi au kugombana mnasuluhisha na sio kuvunja ndoa..serikali tatu zinalenga kuvunja muungano
 
Hivi umeshirikisha kichwa kweli kuandika hii thread au........?haiwezekani kwa 50yrs hizo kero hazijatatuliwa,leo hii tunataka Tanganyika yetu ndio mnakurupuka eti mtazitatua,watanganyika hatuwezi kuendelea kuwa kama vifaranga vya kuku kila siku kuahidiwa utanyonya kesho.Shirikisha akili acha kutumika fungua akili wewe.
 
Binafsi sijaona wadai serikali tatu cha maana wanachotaka zaidi ya unafiki na ufinyu wa mawazo.

Siku utakayoelewa utofauti wa mambo haya mawili hakika hutakuwa na tabu ya kuelewa kile kilichopo ndani ya rasimu ya katiba:

1. Mfumo wa serikali
2. Muundo wa serikali
 
Hii kali kweli.....usitishike na jina serikal tatu kwa maana muundo tulio nao ni wa serikali tatu.
nenda kasome vizuri aina ya muungano tulio nao,tatizo kubwa watanzania hawasomi,,,zaidi ya kusubiria msaada wa komangano LIVE ITV....ni serikali tatu Offline...yale mambo saba ya muungano ndio serikali ya tatu,..na ndio UKAWA wanataka yaundiwe serkali..hapo yalipo tu ni mzigo na kuzungumkuti now uyaundie serikali na yachangiwe mapato..hii sio akili timamu
 
Nimekuja mbiombio kuisoma mada hii nikidhani kuwa imeletwa na wanayoitakia mema nchi kumbe imeletwa na lakitatutatu walioko mjengoni na ndio wanaojibizana hapa.
 
Hivi umeshirikisha kichwa kweli kuandika hii thread au........?haiwezekani kwa 50yrs hizo kero hazijatatuliwa,leo hii tunataka Tanganyika yetu ndio mnakurupuka eti mtazitatua,watanganyika hatuwezi kuendelea kuwa kama vifaranga vya kuku kila siku kuahidiwa utanyonya kesho.Shirikisha akili acha kutumika fungua akili wewe.

eti Tanganyika yetu!!Go back to 1961....wewe badala ya kutafakari serikali ilnafikishaje huduma muhmu kwako mwananchi unaeishi chini ya dola 1 per day unaiwaza Tanganyika yako na bendera ya Tanganyika umeshaitafuta...pole yako sana.....utasubiri sana ndugu yangu,you cant fight me join me!!
 
Nimekuja mbiombio kuisoma mada hii nikidhani kuwa imeletwa na wanayoitakia mema nchi kumbe imeletwa na lakitatutatu walioko mjengoni na ndio wanaojibizana hapa.

wewe ni mmojawapo wa hao mashabiki maandazi waliojaa unafiki na woga..at the end of the day u end up failing...anyway kero za Muungano unazijua wewe?how do u think serikali 3 will solve them problems
 
Siku utakayoelewa utofauti wa mambo haya mawili hakika hutakuwa na tabu ya kuelewa kile kilichopo ndani ya rasimu ya katiba:

1. Mfumo wa serikali
2. Muundo wa serikali

umeisoma?au umetizamishwa mdahalo ITV...nenda kasome!!
 
na mawazo ya serikali tatu aliyainject yeye....asituzingue uyu mzee naona ameichoka nchi....kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kuruhusu mijadala ya kujadili serikali tatu vs serikali mbili.....maana lile lengo la msingi limesahaulika tumebaki kwenye vijembe...hawa UKAWA wanahofia kushindwa kwa hoja zao kutokana na uchache wao na CCM wanajivunia wingi wao...wote hawapo sahihi!!!usahihi ni kuweka kero za muungano mezani na kuzitafutia ufumbuzi bila kuathiri Muungano uliopo...hata mke akikuudhi au kugombana mnasuluhisha na sio kuvunja ndoa..serikali tatu zinalenga kuvunja muungano

Hebu tusaidie namna nzuri yakuuboresha Muungano bila kuwa na Serikali tatu nakila Upande ukilidhike...
 
tatizo mnao bisha mmezoea kubebwa bebwa na kupewa ajira na vizawadi na CCM kuwe makini ni wanyonge wengi wanaumia na wachache mnafurahi muwe na huruma
 
Back
Top Bottom