Tatizo la jk huwa simwamini kabisa, hayupo silious ni kuchekacheka tu, juzi nimeenda msoga kwenye kijiji cha jk kunawazee wanasema uli kapingwa na serikali, hata kijiji chake hawamwamini!kwa sasa hatuwezi kuwaahidi kuwa tunao
uwezo wa kuwalipa mshahara wa kuanzia wa
shilingi 3,500,000 na posho zote zile. Tukifanya
hivyo malipo ya daktari anayeanza kazi yatakuwa
shilingi 7,700,000. Kwa hakika kiasi hicho
hatutakiweza. Si vyema kutoa ahadi hewa kwa
watu tunaowaheshimu na kuwathamini kama
walivyo madaktari,? alisema Kikwete.
We mtetee tu ila ujue ndio unamharibia. Take it from me broda
Ukisikia kudandia hoja ndio huko. Ulikuwa huna ubunifu wa kujuwa yote hayo mpaka umsikie Kikwete? hapo ndipo unapotudhihirishia kuwa wewe ni dhaifu wa hoja.
Uchukuwe hoja za mtu uzigeuzegeuze halafu uje humu na uende bungeni ukajidai hoja zako? Kijana naona umeishiwa kama Lema na Slaa.
On a serious note labda hizi siasa zetu sizielewi vizuri, kwengine kokote duniani upinzani ungekaa kimya tu kwenye hili sakata la madokta na kuwa wangaliaji wa mbali kulikoni kujiingiza kati.
Kumbuka siasa ni dhamana ya kuongoza na kugawa rasilimali zilizopo kwa faida ya jamii, sasa wewe jamii inaumia hata kama madaktari wana argument huwezi kutokea mbele na ku-side na madokta. madokta wanamadai yao kwa serikali na jamii inahitaji huduma za madokta.
Ukikurupuka na kuchagua ku-side na madokta ni sawa na kujiwekea political suicide kwenye issue at hand. wenzako watakuamishia mpira kwa wananchi nakusema unatetea madokta na unaamini wapo sawa wao kuwanyimwa matibabu kwa mujibu ya chama fualni. In case you forget your priority ni wananchi wengi kwanza, then groups.
Eti serikali itoe maelezo kwa nini Rais hakuhutubia tarehe 30 june.yaani nilipofika hapo tu nimeamini HUYU MVULANA ANA AKILI FINYU SANA.
Hivi mnyika ni nani hadi utake kumpangia bosi wa nchi hii lini ahutubie?
We kijana huna nyimbo.ndo maana hata bungeni unahangaika kama kuku anayetaka kutaga.YOU SO FULL OF NOSENSE.HIVI WANAUBUNGO WALIKUCHAGUA ILI UWE UNATULETEA PUMBA ZAKO HAPA.
Sasa deal lenu la kuvuruga nchi limegonga mwamba.NCHI HAITATAWALIKA HUMU JF kwingine LIFE GOOSE ON.[/QUOTE
miaka 50 ya uhuru tuna watu kama hawa
Huyu Mnyoko ana maoni hasi juu ya kila kinachofanywa na Kikwete !.....
Maoni yangu: atakuwa alimposa Mwanaasha Akakataliwa
Ukisikia kudandia hoja ndio huko. Ulikuwa huna ubunifu wa kujuwa yote hayo mpaka umsikie Kikwete? hapo ndipo unapotudhihirishia kuwa wewe ni dhaifu wa hoja.
Uchukuwe hoja za mtu uzigeuzegeuze halafu uje humu na uende bungeni ukajidai hoja zako? Kijana naona umeishiwa kama Lema na Slaa.
Ukisikia kudandia hoja ndio huko. Ulikuwa huna ubunifu wa kujuwa yote hayo mpaka umsikie Kikwete? hapo ndipo unapotudhihirishia kuwa wewe ni dhaifu wa hoja.
Uchukuwe hoja za mtu uzigeuzegeuze halafu uje humu na uende bungeni ukajidai hoja zako? Kijana naona umeishiwa kama Lema na Slaa.
It's not fair, kwa nini wewe usijadili hoja na badala yake umjadili Mnyika? fikiri tene ndugu yangu!Huyu Mnyika mdhoofu wa hoja hana jipya anasubiri wengine waseme na yeye ndio ajibu. Lakini tusimlaumu sana maana yeye ni mbayuwayu anayefugwa na Mbowe
vyovyote unavyoitwa una upungufu wa kufikiri kama mtanzania watanzania wanakufa wanatesekea wewe unashangilia tu kwa maslahi ya tiss kama kweli wewe ni mtwana wao nipigie nikuchambue nione umahiri wako wa system at work +447585596854Ukisikia kudandia hoja ndio huko. Ulikuwa huna ubunifu wa kujuwa yote hayo mpaka umsikie Kikwete? hapo ndipo unapotudhihirishia kuwa wewe ni dhaifu wa hoja.
Uchukuwe hoja za mtu uzigeuzegeuze halafu uje humu na uende bungeni ukajidai hoja zako? Kijana naona umeishiwa kama Lema na Slaa.