Maoni ya Mnyika dhidi ya hotuba ya rais ya mwezi Juni

Maoni ya Mnyika dhidi ya hotuba ya rais ya mwezi Juni

Ile chenji ya billion 300 ya southafrica na trillion 3 ya uswisi hajaiongelea. si ingetosha tuu kuliko kutoana kucha na dental formula??!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mfano tu Wabunge! Mbunge kama Maji Marefu elimu yake darasa la nne anapokea posho 200,000 kwa siku!

Lakini ni ukweli ubunge sio taaluma bali ni uwakilishi wa sauti ya watu. Wapo katika wabunge madaktari, wakulima, wachumi na fani zote. Wapo wasomi mpaka maprofesa na wasio wasomi kama hao darasa la nane. Mhimu kama wananchi ndio wamewataka au la? Suala la wao kustahili au kutostahili kupata malipo wanaostahili linajadilika.
 
Pamoja na mabombo mengine mengi, tujiwekeze zaidi 2015. Wanaosikiliza kwa sasa ni umma tu.
 
Back
Top Bottom