THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,777
- 15,124
Nigeria ina JESHI kubwa
wanashinda nin kupambana na hiko kikundi cha boko haramu??
wanashindwa nin kuomba misaada nje ya nchi kutoka kwa western countries kupambana na hao boko haram??
whats the difference between boko haram and isis??
why america and its allies wanaweza kutuma majeshi kwenda kupambana na isis lakin wanashindwa kutuma majesh kwenda kupambana na bokoharam??
au kwa kuwa huko hakuna UTAJIRI WA MAFUTA NA GESI KAMA ILIVYO SYRIA??
UNAFIKI WA HALI YA JUU.