Maoni ya Membe kuhusu sakata la Charlie Hebdo!

Maoni ya Membe kuhusu sakata la Charlie Hebdo!

Hivi wewe najua nani alilogwa? Naona povu linakutoka sana kasome Quran suratul ban Israel Muhammad alulilogwa mwaka mzima.
Alafu hii habari ya wagalatia huwa mnaitumia vibaya ngoja nikufunze kidogo.
Wagalatia walikuwa hawaamini kwamba Yesu amekufa na kufufuka na hawaamini kiama ya wafu ndio maana Paul anawauliza enyi wagalatia ni nani aliyewaloga? Sasa Basi wakristo wanaamini kwamba Yesu amekufa na kufufuka na ndio atakaekuja tena kama Paul alivyokuwa akihubiri kifo na ufufuo wa Yesu. Sasa ikiwa wewe muislamu unaamini kwamba Yesu ndio atakuja tena kama ishara ya kuwafufua wafu comment hapa kwamba Naamini la sivyo utakuwa wewe mgalatia.
Pia ni kawaida yenu kukataa vitabu vyenu na tukipost hapa vilivyoandikwa mnasema tunadhihak dini yenu.
Mfano Muhammad kuoa katoto yaani alibaka... Mmeandika wenyewe. Maisha ya nabii Muhammad UK 15.
Alikuwa jambazi ngawila Quran sura 8:1
Allah ni shetan maana anatuma mashetan na anapingana na Mungu wa Biblia Quran 3:95
Ataingia Motoni soma alulu walmarijan kitabu cha pili.
 
Naomba uwaite hawa wafuatao ili mjadala uwe mtamu:FaizaFox,Ritz,Kahtaan,n.k
 
Team lowassa utawajua tu

kak ukiangalia kuna ukweli upo ndani yake hii ishu nimeisikia muda sana na kuna hela nyingi sana zimepigwa zilizokuwa zinatolewa na sadam husein membe akishirikiana na kikwete

ndio maana ukitaka kupata huhakika chunguza ni nani anayeratibu kampeni za membe ni familia ya kikwete ikiongozwa na mwenyekiti wa WAMA TZ nazani unamjua
 
hivi membe anaweza kushindana na lowasa kwa lipi?
jamani ccm mziki wa laigwanani mkuu si mnaujua? mnazunguka tu mbuyu
 
Ulio wataja hawana uwezo kabisa. Mimi najadili na akina mazinge. Yahaya sure shafique na wengineo nimetoa dozi ya kiislamu miaka kumi kabla naujua uislmu ndani na nje so hao kama wanatambaa tu kwangu
 
kak ukiangalia kuna ukweli upo ndani yake hii ishu nimeisikia muda sana na kuna hela nyingi sana zimepigwa zilizokuwa zinatolewa na sadam husein membe akishirikiana na kikwete

ndio maana ukitaka kupata huhakika chunguza ni nani anayeratibu kampeni za membe ni familia ya kikwete ikiongozwa na mwenyekiti wa WAMA TZ nazani unamjua

Rais ajae tunamjua, sio yule anayetumia fedha nyingi na maneno machacfu. Hayo ni maneno ya Warioba kwenye gazeti la leo la Mwananchi.
 
Quran inasema muislam akitenda mema akifa ataenda peponi kwenye mito ya pombe ambako atapewa wanawari bikira saba. Moja ya vibonzo vilivyosababisha magaidi kuvamia Charlie Hebdo kilichorwa mtume Muhammad akiwa na mabinti saba mabikira. Mantiki ya cartoon hiyo ni kuashiria kuwa mtume Muhammad alitenda mema ndiyo maana amepewa mabikira saba. Kashfa hapo ni ipi?
 
Nadhani kura zinazotafutwa ni za waislam kura za wakristu wanauhakika nazo na hata kama hawana uhakika nazo, Duniani kote inafahamika dini yenye misimamo mikali ni ipi.

Usipate shida juu ya hilo mkuu, huwezi sikia kauli ya yeyote juu ya hilo. Tunaogopa kuwaudhi wenzetu Waislam labda ingekuwa Antibalaka wamelipua huko Macca ungesikia Sauti kali ya Membe huku "Mvua ikinyesha"...!!!!!!

BACK TANGANYIKA

waislamu ni wepesi sana ..tutawadanganya na mahakama na kadhi na ubwabwa kidogo watatupa kura zao wala hawana shida..ili mradi pilau liwekwe hiriki nyingi na nyama za kutosha
 
Quran inasema muislam akitenda mema akifa ataenda peponi kwenye mito ya pombe ambako atapewa wanawari bikira saba. Moja ya vibonzo vilivyosababisha magaidi kuvamia Charlie Hebdo kilichorwa mtume Muhammad akiwa na mabinti saba mabikira. Mantiki ya cartoon hiyo ni kuashiria kuwa mtume Muhammad alitenda mema ndiyo maana amepewa mabikira saba. Kashfa hapo ni ipi?

Mito ya pombe na mabikira saba! Tatizo waislam hata quran yao hawaikubali! Wamwache mtume apate thawabu ya mema aliyoyenda hapa duniani!
 
Hivi wewe najua nani alilogwa? Naona povu linakutoka sana kasome Quran suratul ban Israel Muhammad alulilogwa mwaka mzima.
Alafu hii habari ya wagalatia huwa mnaitumia vibaya ngoja nikufunze kidogo.
Wagalatia walikuwa hawaamini kwamba Yesu amekufa na kufufuka na hawaamini kiama ya wafu ndio maana Paul anawauliza enyi wagalatia ni nani aliyewaloga? Sasa Basi wakristo wanaamini kwamba Yesu amekufa na kufufuka na ndio atakaekuja tena kama Paul alivyokuwa akihubiri kifo na ufufuo wa Yesu. Sasa ikiwa wewe muislamu unaamini kwamba Yesu ndio atakuja tena kama ishara ya kuwafufua wafu comment hapa kwamba Naamini la sivyo utakuwa wewe mgalatia.
Pia ni kawaida yenu kukataa vitabu vyenu na tukipost hapa vilivyoandikwa mnasema tunadhihak dini yenu.
Mfano Muhammad kuoa katoto yaani alibaka... Mmeandika wenyewe. Maisha ya nabii Muhammad UK 15.
Alikuwa jambazi ngawila Quran sura 8:1
Allah ni shetan maana anatuma mashetan na anapingana na Mungu wa Biblia Quran 3:95
Ataingia Motoni soma alulu walmarijan kitabu cha pili.

Wagalatia ni wale wote wasioamini kusulibiwa msalabani, kufa, kuzikwa, kfuufuka na kupaa mbinguni kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Kwa mmaana hiyo waislam ni wagalatia.

Soma hapa na utafakari; Wagalatia 3:10-29

10 Lakini wote wanaotegemea tu kutimiza yanayotakiwa na Sheria, wako chini ya laana. Maana, Maandiko Matakatifu yasema: "Yeyote asiyeshika na kutimiza yote yaliyoandikwa katika kitabu cha Sheria, yuko chini ya laana."

11 Ni dhahiri kwamba Sheria haiwezi kumfanya mtu akubaliwe kuwa mwadilifu; maana Maandiko Matakatifu yasema: "Mwadilifu kwa imani ataishi."

12 Lakini Sheria haitegemei imani, ila Maandiko yasema: "Mwenye kutimiza yanayotakiwa na Sheria ataishi."

13Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya Sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: "Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa."

14 Jambo hili lilifanyika kusudi ile baraka aliyopewa Abrahamu iwashukie watu wa mataifa mengine kwa njia ya Kristo, na ili kwa imani, tumpokee yule Roho ambaye Mungu alituahidia.

15 Ndugu, nitawapeni mfano kutoka maisha yetu ya kila siku. Fikirini juu ya mkataba kati ya watu wawili. Mkataba ukisha fanyika na kutiwa sahihi hapana mtu anayeuweka kando au kuuongezea kitu.

16 Basi, Abrahamu alipewa ahadi, yeye pamoja na mzawa wake. Maandiko hayasemi: "Na wazawa wake," yaani wengi, bali yasema, "Na mzawa wake," yaani mmoja, naye ndiye Kristo.

17 Ninachotaka kusema ni hiki: Mungu alifanya agano lake akalithibitisha; Sheria ambayo ilitokea miaka mia nne na thelathini baadaye, haiwezi kulitangua hilo agano wala kuibatilisha hiyo ahadi.

18 Maana, kama urithi ya Mungu inategemea Sheria, basi, haiwezi kutegemea tena ahadi ya Mungu. Kumbe, lakini Mungu alimkirimia Abrahamu kwa sababu aliahidi.

19 Ya nini basi, Sheria? Iliongezwa hapo ili kuonyesha uhalifu ni kitu gani, mpaka atakapokuja yule mzawa wa Abrahamu aliyepewa ile ahadi. Sheria ililetwa na malaika kwa mkono wa mpatanishi.

20 Ama hakika, mpatanishi hahitajiwi ikiwa jambo lenyewe lamhusu mtu mmoja; na Mungu ni mmoja.

21 Je, Sheria inapingana na ahadi za Mungu? Hata kidogo! Maana, kama kungalitolewa sheria ambayo ingeweza kuwapa watu uzima, basi, tungeweza kukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya Sheria.

22 Lakini sivyo; Maandiko Matakatifu yamekwisha sema kwamba ulimwengu wote upo chini ya utawala wa dhambi; na hivyo, kwa kumwamini Yesu Kristo, wenye kuamini watimiziwe ile ahadi.

23 Kabla ya kujaliwa imani, Sheria ilitufanya wafungwa mpaka imani hiyo iliyokuwa inakuja ifunuliwe.

24 Basi, hiyo Sheria ilikuwa kama mlezi wetu mpaka alipokuja Kristo, ili kwa njia ya imani, tukubaliwe kuwa waadilifu.

25 Tangu kufika kwa hiyo imani, Sheria si mlezi wetu tena.

26 Kwa njia ya imani, ninyi nyote mmekuwa watoto wa Mungu katika kuungana na Kristo.

27 Ninyi nyote mliobatizwa mkaungana na Kristo ni kama vile mmemvaa Kristo.

28 Hivyo, hakuna tena tofauti kati ya Myahudi na Mgiriki, mtumwa na mtu huru, mwanamume na mwanamke. Nyote ni kitu kimoja katika kuungana na Kristo Yesu.

29 Ikiwa ninyi ni wa Kristo, basi ni wazawa wa Abrahamu, na mtapokea yale aliyoahidi Mungu.
 
Quran inasema muislam akitenda mema akifa ataenda peponi kwenye mito ya pombe ambako atapewa wanawari bikira saba. Moja ya vibonzo vilivyosababisha magaidi kuvamia Charlie Hebdo kilichorwa mtume Muhammad akiwa na mabinti saba mabikira. Mantiki ya cartoon hiyo ni kuashiria kuwa mtume Muhammad alitenda mema ndiyo maana amepewa mabikira saba. Kashfa hapo ni ipi?

hahaaaa jamani hii dini hiii
 
Watu weengi wanauawa HUKO NIGERIA NA HAWA MAGAIDI WALIOWATENGENEZA WAO WENYEWE NATUSKIII VIONGOZI WA DUNIAN HAO WANAOJIITA VIONGOZI WA DUNIA WAKITOA TAMKO,

WATU WANAUAWA NA MAGAIDI WA ISIS NA JOSEPH KONY WITH HIS L.R.A MAELFU KWA MAELFU HATUSKII MATAMKO YAKITOLEWA,

WATU WANAULIWA NA MAGAIDI WA ISRAEL NA USA HUKO MIDDLE EAST MAELFU KWA MAELFU HATUSKII MATAMKO,

NDUGU ZETU WAMEULIWA HUKO LIBYA NA KUUWAWA KIHARAMU KIONGOZ MUAMAR GADAFI HATUJAONA DUNIA HII IKITOA MATAMKO,

KUUWAWA LEO KWA HAO WATU 12 HUKO FRANCE ETI KWA SABABU ZAO ZAKUJITAKIA ZA KUTENGENEZA HATE NDAN YA JAMII WANATAO TAMKO NA MATAMKO CHUNG NZIMA??

SIKU DUNIA IKIACHA UNAFIKI NA KUSIMAMIA KWENYE HAKI NDIPO HUU UDHALIM UTAPOKWISHA

DUNIA IACHE UNAFIKI

KILA UMWAGAJI DAMU USIO HALALI UNAPASWA KUKEMEWA HAJALISHI UNAFANYWA WAPI NA NANI

HAWA WESTERN COUNTRIES NDIYO CHANZO CHA UMWAGAJI WA DAMU NDAN YA DUNIA HII

WAMEDEPLOY MAJESHI YAO NA KUVUKA MIPAKA KISHA KWENDA KATIKA NCHI ZISIZO ZAO KUTENGENEZA CHAOS ZISIZOKWISHA

WAKISHINDWA KUHANDLE OUTCOMES WANATAFUTA UCHOCHORE WA KUTOKEA

HAIKUBALIKI
 
Mtoa uzi nae ndio walewale tu, the same week ktk ile attack ya charlie hebdo na porte Vincennes. ..north Nigeria 2000 people died.Kwa nini asitoe tamko juu ya wauaji wa huko Nigeria? Big up kwa serikali ya chad coz wameshatuma vikosi nchini cameroon kupambana na wauaji sio kukimbilia kutoa matamko.Then kuna uhuru wa vyombo vya habari yes, lakini uhuru huo una mipaka yake....kukashif dini ya mwingine ni kuingilia uhuru wa mwingine.
 
wagalatia ni wale wote wasioamini kusulibiwa msalabani, kufa, kuzikwa, kfuufuka na kupaa mbinguni kwa bwana wetu yesu kristo. Kwa mmaana hiyo waislam ni wagalatia.

Soma hapa na utafakari; wagalatia 3:10-29

10 lakini wote wanaotegemea tu kutimiza yanayotakiwa na sheria, wako chini ya laana. Maana, maandiko matakatifu yasema: "yeyote asiyeshika na kutimiza yote yaliyoandikwa katika kitabu cha sheria, yuko chini ya laana."

11 ni dhahiri kwamba sheria haiwezi kumfanya mtu akubaliwe kuwa mwadilifu; maana maandiko matakatifu yasema: "mwadilifu kwa imani ataishi."

12 lakini sheria haitegemei imani, ila maandiko yasema: "mwenye kutimiza yanayotakiwa na sheria ataishi."

13kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana maandiko yanasema: "yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa."

14 jambo hili lilifanyika kusudi ile baraka aliyopewa abrahamu iwashukie watu wa mataifa mengine kwa njia ya kristo, na ili kwa imani, tumpokee yule roho ambaye mungu alituahidia.

15 ndugu, nitawapeni mfano kutoka maisha yetu ya kila siku. Fikirini juu ya mkataba kati ya watu wawili. Mkataba ukisha fanyika na kutiwa sahihi hapana mtu anayeuweka kando au kuuongezea kitu.

16 basi, abrahamu alipewa ahadi, yeye pamoja na mzawa wake. Maandiko hayasemi: "na wazawa wake," yaani wengi, bali yasema, "na mzawa wake," yaani mmoja, naye ndiye kristo.

17 ninachotaka kusema ni hiki: Mungu alifanya agano lake akalithibitisha; sheria ambayo ilitokea miaka mia nne na thelathini baadaye, haiwezi kulitangua hilo agano wala kuibatilisha hiyo ahadi.

18 maana, kama urithi ya mungu inategemea sheria, basi, haiwezi kutegemea tena ahadi ya mungu. Kumbe, lakini mungu alimkirimia abrahamu kwa sababu aliahidi.

19 ya nini basi, sheria? Iliongezwa hapo ili kuonyesha uhalifu ni kitu gani, mpaka atakapokuja yule mzawa wa abrahamu aliyepewa ile ahadi. Sheria ililetwa na malaika kwa mkono wa mpatanishi.

20 ama hakika, mpatanishi hahitajiwi ikiwa jambo lenyewe lamhusu mtu mmoja; na mungu ni mmoja.

21 je, sheria inapingana na ahadi za mungu? Hata kidogo! Maana, kama kungalitolewa sheria ambayo ingeweza kuwapa watu uzima, basi, tungeweza kukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya sheria.

22 lakini sivyo; maandiko matakatifu yamekwisha sema kwamba ulimwengu wote upo chini ya utawala wa dhambi; na hivyo, kwa kumwamini yesu kristo, wenye kuamini watimiziwe ile ahadi.

23 kabla ya kujaliwa imani, sheria ilitufanya wafungwa mpaka imani hiyo iliyokuwa inakuja ifunuliwe.

24 basi, hiyo sheria ilikuwa kama mlezi wetu mpaka alipokuja kristo, ili kwa njia ya imani, tukubaliwe kuwa waadilifu.

25 tangu kufika kwa hiyo imani, sheria si mlezi wetu tena.

26 kwa njia ya imani, ninyi nyote mmekuwa watoto wa mungu katika kuungana na kristo.

27 ninyi nyote mliobatizwa mkaungana na kristo ni kama vile mmemvaa kristo.

28 hivyo, hakuna tena tofauti kati ya myahudi na mgiriki, mtumwa na mtu huru, mwanamume na mwanamke. Nyote ni kitu kimoja katika kuungana na kristo yesu.

29 ikiwa ninyi ni wa kristo, basi ni wazawa wa abrahamu, na mtapokea yale aliyoahidi mungu.

hayo yooote uliyoyaongea mimi naona ni utumbo tuh

tuanzie na hilo nililowekea alama kwanza

bible yako inasema kwamba yeyote aliewambwa msalabani amelaaniwa si ndiyo??

Kwa mujibu wenu jesus amewambwa msalabani,,

so to say kwamba yeye kalaaniwa??

Unamfuate mungu alielaaniwa??

Pia katika kuongezea hapo kwa mujibu wenu jesus was white na ndivyo mnavyomproclaim ktk mapokezi yenu

hizi wewe hujiulizi mtu ambae alishuka middle east aonekane kushikiwa bango na wazungu huko roma italy kana kwamba wao ndio wahusika wakuu huku aonekane kukanwa na wenyewe huko middle huko especially israel??maana israel kama israel hawamkubali jesus na hawaufuati ukristo,,wao wanafuata judaism kama mfumo wao,wazungu na middle east wapi na wapi??
 
Back
Top Bottom