Maoni ya Membe kuhusu sakata la Charlie Hebdo!

Maoni ya Membe kuhusu sakata la Charlie Hebdo!

Does it make sense to you??

hapo mwanzao kulikuwa na NENO,HUYO NENO ALIKUWA NA MUNGU,,NA HUO NENO ALIKUWA MUNGU??

NA HUYO MUNGU AKAMZAA HUYO NENO??

DOES IT MAKE ANY SENSE??

UNADANGANYWA HUKU UNAONA NAWEWE UNAKUBALI??

Kufuta ujinga na kuondoa umasikini kutatusaidia dhidi ya mawazo ya kibaguzi na kipumbavu kama haya!
 
Kabla ya wahuni wachache wanao kashifu dini na kukashif viongozi wa dini kuwapo huko Ufaransa, wafaransa wenyewe wasomi wa kale hawa ni waale wazungu halisi sio Charlie hebdo wayahudi wenye lengo la kuleta fitna na conflict baina ya dini kubwa mbili.
huko nyuma wafaransa walimsifu sana Mtume Muhammad . leo wahuni wana mdhihaki ati ni uhuru wa habari!!
huu siii uhuru bali ni uhuni wa mayahudi kugombanisha watu....haa ni wachafuzi
hebu tusome kitabu na makala ilio andikwa france 1854

A view of Prophet Muhammad from France, 1854

Alphonse Marie Louis de Prat de Lamartine: 21 October 1790 - 28 February 1869) was a French writer, poet and politician who was instrumental in the foundation of the French Second Republic.

Following is an excerpt from his book "Histoire de la Turquie", Paris, 1854 in which he writes about the Prophet of Islam, Muhammad .

"Never has a man set for himself, voluntarily or involuntarily, a more sublime aim, since this aim was superhuman: to subvert superstitions which had been interposed between man and his Creator, to render God unto man and man unto God; to restore the rational and sacred idea of Divinity amidst the chaos of the material and disfigured gods of idolatry, then existing.

"Never has a man undertaken a work so far beyond human power with so feeble means, for he (Muhammad) had in the conception as well as in the execution of such a great design no other instrument than himself, and no other aid, except a handful of people living in a corner of the desert Finally, never has a man accomplished such a huge and lasting revolution in the world...

"If greatness of purpose, smallness of means, and astounding results are the true criteria of human genius, who could dare to compare any great man in modern history with Muhammad? The most famous men created arms, laws, and empires only. They founded, if anything at all, no more than material powers which often crumbled away before their eyes. This man moved not only armies, legislations, empires, peoples and dynasties, but millions of men in one-third of the inhabited world, and more than that, he moved the altars, the gods, the religions, the ideas, the beliefs, and the souls. On the basis of a Book, every letter of which has become law, he created a spiritual nationality which blended together peoples of every tongue and of every race. He has left us - as the indelible characteristic of this Muslim nationality- the hatred of false gods and the passion for the One and Immaterial God... The conquest of one-third of the earth to his dogma was his miracle; rather it was not the miracle of a man but that of reason.

"His life, his meditations, his heroic reviling against the superstitions of his country, and his boldness in defying the furies of idolatry, his firmness in enduring them for thirteen years at Makkah, his acceptance of the role of public scorn and almost of being a victim of his fellow countrymen: all these and finally, his migration, his incessant preaching, his wars against odds, his faith in his success and his superhuman security in misfortune, his forbearance in victory, his ambition, which was entirely devoted to one idea and in no manner striving for an empire, his endless prayers, his mystic conversations with God, his death and his triumph after death - all these... (served) to affirm conviction which gave him the power to restore a creed...

"Philosopher, orator, apostle, legislator, warrior, conqueror of ideas, restorer of rational dogmas, of a cult without images; the founder of twenty terrestrial empires and of one spiritual empire, that is Muhammad. As regards all standards by which human greatness may be measured, we may well ask, is there any man greater than he?"
 
OK niliyoongea ni utumbo, ulichoandika wewe ni kile kilicho ndani ya utumbo.
Kama ungekuwa ni mkristo ungeelewa thamani ya kifo cha Bwana wetu Yesu Kristo, elewa kwamba kutundika Bwana wetu Yesu Kristo Msalabani ilishatabiriwa, pia Yesu Kristo hakuwa wa kwanza kusulibiwa msalabani, adhabu hii ilikuwepo hata kabla Yesu Kristo hajazaliwa, waliomhukumu walichagua kusulibiwa kama adhabu ya juu kwani aliyesulibiwa ilisemwa amelaaniwa. Upeo wa kudhani Yesu Kristo atalaanika kwa kusulibiwa haukutofautiana na wewe unayeishi kwa utumwa wa SHARIA.

mimi pia nasubiri utaporudi tena maana hujajibu hoja inayohusu ulaya na middle east
 
Mito ya pombe na mabikira saba! Tatizo waislam hata quran yao hawaikubali! Wamwache mtume apate thawabu ya mema aliyoyenda hapa duniani!

hahaaaa jamani hii dini hiii

jihadist sometimes akili yako inampita professeri kikwete na membe combined...

hahahahahaha mkuu umenivunja mbavu

Wagalatia, wakolosai, waefeso na makafiri wengine wote.
Niko njiani narudi kambini.
Hio mipasho yenu na vicheko vyenu navisoma kwa kituo.
Subirini nikae mkao wa kula.
Mtaanza kumuita Papa Sasa hivi.

I'm watching you now!
The big brother is back!
 
Wagalatia, wakolosai, waefeso na makafiri wengine wote.
Niko njiani narudi kambini.
Hio mipasho yenu na vicheko vyenu navisoma kwa kituo.
Subirini nikae mkao wa kula.
Mtaanza kumuita Papa Sasa hivi.

I watching you now!
The big brother is back!

mkuu ulipotea sana ndo unatoka paris nini? kuwafyeka wale jamaa waliomkashifu mudi.
 
mkuu ulipotea sana ndo unatoka paris nini? kuwafyeka wale jamaa waliomkashifu mudi.

We endelea kutikisa hayo makalio.
Ngoja nimalizie Holiday yangu.
Mwaka huu lzm tukaze hizo ball joint zako.
Mtoto sio rizki wewe!
 
Wagalatia, wakolosai, waefeso na makafiri wengine wote.
Niko njiani narudi kambini.
Hio mipasho yenu na vicheko vyenu navisoma kwa kituo.
Subirini nikae mkao wa kula.
Mtaanza kumuita Papa Sasa hivi.

I watching you now!
The big brother is back!

Hah hah hah kahtaan ktk ubora wake! Makontata lazima wakimbilie kwa mods tu
 
Last edited by a moderator:
MEMBE NI ZEZETA,PALESTINA ILIUA MTOTO WA KIISRAEL HAKUILAANI PALESTINA,BALI ALIWASHANGILIA, ISRAEL ILIPOLIPA KISASI MEMBE AKAILAANI ISRAEL KUWA INAUA NDUGU ZAKE WAPALESTINA ET BILA HATIA!! SASA HUYU SIYO ZEZETA JAMANI? Haya Mauaji Yanayofanywa Na Isis,bokoharam Na Alshabaab Membe Humsikii Akiyalaani Mauaji Hayo,anasubiri Israel Au Mmarekani Ajibu Mapigo Membe Aje Alaani!! Mauaji Ya Hv Karibuni Ya Waandish Wa Habari MEMBE HATOLAANI. HVY MEMBE NI KAMA MWANAMKE MALAYA AMBAE YUPO KIMASLAHI ZAIDI NA YUPO TAYARI KUKANA WAZAZI WAKE ILI APATE ANACHOTAKA.

katika watu ninao wadharau na kuwapuuza Membe ni mmoja wao haji elewi kabisa.
 
Membe akiwa rais ni afadhari nihame nchi na kubadilisha uraia kuliko kuongozwa na mtu kama Membe!

Membe yupo busy akiwazia Urais na jinsi atakavyotumia Pesa za Marehemu Gadafi kununua njia kuelekea ikulu, Membe ameshindwa kuweka Balozi Mdogo Hongkong awaokoe Watanzania wanaobambikiwa kesi na kuporwa pesa na Mali zao, ni bora waweke Viza huku huku Tz Kuliko kwenda kuomba viza Airport Hongkong ambapo huwapa Usumbufu mkubwa Watanzania na wakigundua una pesa nyingi huwabambikia Kesi za Unga na kupora pesa zao, Watanzania wakiwa Hongkong huishi kama Yatima hawana Mtetezi wala Msaada.
 
Membe akiwa rais ni afadhari nihame nchi na kubadilisha uraia kuliko kuongozwa na mtu kama Membe!

Membe yupo busy akiwazia Urais na jinsi atakavyotumia Pesa za Marehemu Gadafi kununua njia kuelekea ikulu, Membe ameshindwa kuweka Balozi Mdogo Hongkong awaokoe Watanzania wanaobambikiwa kesi na kuporwa pesa na Mali zao, ni bora waweke Viza huku huku Tz Kuliko kwenda kuomba viza Airport Hongkong ambapo huwapa Usumbufu mkubwa Watanzania na wakigundua una pesa nyingi huwabambikia Kesi za Unga na kupora pesa zao, Watanzania wakiwa Hongkong huishi kama Yatima hawana Mtetezi wala Msaada.
 
Hii dunia haiko fair same thing zinahappen nigeria na boko haram wanaua maelfu ya ndugu zetu, kenya hapo alshabab wanafanya same thing ila leo coz imehapen france na ni dunia ya kwanza watu wamestuka na ww unataka membe atoe tamko!!!

excellent response, Hawa ndugu zetu wanasumbuliwa na kasumba , ili mradi wazungu wameuwawa na wazungu wamekasirika, so it's a must he and all like him have to follow. Mauaji ya Kenya, somalia, Nigeria, CA, Mali, Iraq, Pakistan nk...
Hayawaumizi wao ila pale anapouliwa Mabwana zao zungu Jeupe, but when a white man in Europe is killed you will here them. I don't support any type of killings in fact these killers are animals who deserves to be aprehanded and incarcerated.

Hawa watu wa Alqaida, Shabab, Isis, Taaliban na Book Haram, ni wanyama na majangili na hawafuati Imani ya kiislamu kama inavyofundishwa na Quraan, Islam is a peaceful Religion.
TANZANIA HAINA DINI
 
Uko sahihi mkuu! yaani sie waafrika tuna matatizo ya kifikra na ndio maana wazungu wanatuchezea. Japo mie naunga mkono mabadiliko ya kimfumo Tanzania na hivyo naunga mkono ukawa lakini nakiri kuwa Tanzania ni moja ya nchi chache za kiafrika zinazojitambua, ndio maana hatujasikia matamko yasiyotuhusu. Hongera Membe kwa kutotoa tamko Kuanzia mashambulizi ya charlie hebdo mpaka vibonzo walivyochora. Mbona sijasikia matamko mazito ya nchi za ulaya dhidi ya mashambulizi ya alshabab na Boko haram.Heri Tz kuliko nchi kama Nigeria ambako milipuko inatokea kaskazini mwa nchi muda huo huo, rais Jonathan hatoi tamko kuhusu wananchi wake waliouwawa bali anatoa tamko la kulaani mauaji ya charlie hebdo. Hii ni aibu sana kwa waafrika.

Ndugu nakuunga mkono, UMENENA
 
quran inasema muislam akitenda mema akifa ataenda peponi kwenye mito ya pombe ambako atapewa wanawari bikira saba. Moja ya vibonzo vilivyosababisha magaidi kuvamia charlie hebdo kilichorwa mtume muhammad akiwa na mabinti saba mabikira. Mantiki ya cartoon hiyo ni kuashiria kuwa mtume muhammad alitenda mema ndiyo maana amepewa mabikira saba. Kashfa hapo ni ipi?
walipotosha sana kwa hiyo data.
Ukweli ni mabikra 72,wanaume 2,na mito ya pombe.
 
mkuu mkandara huelewi nini hapo? hapo ni divide and rule policy at work.

Wakuu zangu nadhani mada hii inahusu msimamo wetu kuhusu janga lilotokea Ufaransa sasa hii habari ya kuanza kulumbana na kuzungumzia dini imani za watu hata sielewi, maana waloyafanya haya ni mtu/watu mwenye imani kali kama yule mkristu aloua watu kule Norway kwenye park wa jina la dini yake (kristu). Hivi kweli tunaweza kuwahukumu wakristu wote duniani kwa kosa la huyo mtu ama yule Timothy McVeigh.

Ifahamike tu kwamba hawa watu wanapigania nchi zao, iwe kiuchumi ama kiutawala na wameona hapana njia bora zaidi ya kuweka mvuto wa tofauti zao na nchi za magharibi pasipo kuitumia dini. Hii ni political tactics ambayo mjinga pekee ndio atakubali kuuweka Uislaam/Ukristu kuhalialisha matendo ya watu hao.

Katika Uislaam hakuna muumini aitwaye Sunni ama Shia ni majina walopewa kwa sababu wanafuata mafundisho yalotofautiana juu ya yapi ni katika ibada na yapi yasokuwemo kutokana na hadith. lipo kundi la waislaam wasokubaliana na hadith kabisa hivyo hawaitambui Sunni wala Shia wala dhehebu jingne lolote zaidi ya kuisoma Quran na kuachana kabisa na hadith (maisha ya Mtume) kama yalivyosimuliwa na watu.

Vivyo hivyo nadhani hata katika Ukristu wapo wasokubali madhehebu na wanataka kuisoma Biblia kwa nukuu za Yesu alisema nini na mitume walomtangulia walisema nini juu ya neno la Mungu. Maisha ya Yesu ndiyo yaloleta utenganisho mkubwa ndani ya Ukristu maana kila mtu alikuja na hadith kwamba Yesu alifanya hivi ama vile aliruhusu hiki akakataza kile - According to! Yote haya ni mkono wa binadamu unaotuposha sote katika imani zetu na tujihadhali sana.

Kwa hiyo basi, tujihadhali sana na hizi siasa za Udini kwa sababu tukumbuke kwamba Hitler aliwaua wayahudi kwa kutumia imani yake ya dini kwamba wao ndio walimuua Yesu, Vita ya Rwanda, Bosnia, Nigeria na kwingineko kote wajinga fulani wamezitumia dini kuhalalisha ushenzi wao. Na kwa ushenzi wao, leo tunamlaani sote Hitler na sio Ukristu. Kwa nini inapofikia Uislaam tunabadilsiha maneno?

jamani mwee kila siku Marekani kunamtu anaingia sehemu za watu wengi iwe mashuleni, sinema, mahotelini, maofisini kambi za jeshi na kumwaga risasi kuua watu wasokuwa na hatia kisha akajiua mwenyewe mbona haizungumziwi imani za za dini? ama wakaitwa magaidi kama magaidi wengine? Bado hamjiulizi isipokuwa kufuata mnacholishwa na nchi za magharibi?
 
Does it make sense to you??

hapo mwanzao kulikuwa na NENO,HUYO NENO ALIKUWA NA MUNGU,,NA HUO NENO ALIKUWA MUNGU??

NA HUYO MUNGU AKAMZAA HUYO NENO??

DOES IT MAKE ANY SENSE??

UNADANGANYWA HUKU UNAONA NAWEWE UNAKUBALI??

Teh teh teh teh!

Mbavu zangu mkuu!
Hawa jamaa kwa mipasho hata bi kidude hawafikii.
 
mkuu mkandara huelewi nini hapo? hapo ni divide and rule policy at work.
Sio miye ila nawashangaa watu wanaokubali kugawanywa wakati wenzao wamekalia chumi za nchi hizo na wana malengo ya kuweka watawala wao nchi za kiarabu ili biashara zao zifane zaidi na zaidi. Sisi tunayebishana hapa kila siku hatujui kesho tutakula nini lakini ndio tumejazwa usingizi mkubwa wa udini.
 
Hii dunia haiko fair same thing zinahappen nigeria na boko haram wanaua maelfu ya ndugu zetu, kenya hapo alshabab wanafanya same thing ila leo coz imehapen france na ni dunia ya kwanza watu wamestuka na ww unataka membe atoe tamko!!!
Kama vile ni lazima kila nchi itoe tamko. Kwanza hao wafaransa wala hawana muda na nchi kama zetu. Kazi kujikomba tu. Kwanini hakuuliza Ufaransa ina maoni gani kwa mauaji ya Mwangosi? Au Yale mabomu kule Pemba na Arusha?
 
Back
Top Bottom