Maoni ya Kambi ya Upinzani katika Bajeti 2013/14

Maoni ya Kambi ya Upinzani katika Bajeti 2013/14

Kivipi mkuu wamejadili mambo ya mitandoni ama?
 
Aaaaahah Bunge la chama kimoja toka jana kwao halina mvuto.....!
 
Mbona kwenye ile rist ya wanaofuatili ile thread ya Arusha sijamuona Mwigulu Nchemba au ameingia as a guest au anatumia ile ID nyingine
 
Last edited by a moderator:
Hata wao wanataka kujua habari wa chama pendwa cdm.
 
Babu na mpenzi wake wanaongoza Mapambano kwa rimoti toka Ujerumani.
 
Si ndiyo wanaoingi kwa majina mengine.. Ndo wanaoitetea ccm hakuna wengine humu
Mbona kwenye ile rist ya wanaofuatili ile thread ya Arusha sijamuona Mwigulu Nchemba au ameingia as a guest au anatumia ile ID nyingine
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu hayuko bungeni kabisa! Yuko arusha! Maskini kazi ya kuitetea ccm inakuwa ngumu
 
Haya Matukio Makubwa yanatufanya tukose muda hata wa kusikiliza huko kati nini kinaendelea. Ninawasiwasi sana
inaweza kupita bila hata:
1. Kuchambuliwa vipengele vinavyo athiri uchumi wa Taifa
2. Inaweza Kupita bila upande wa Pili kukosoa



n.k
 

Attachments

Ingekua jambo la busara kususia vikao vya bunge ili serikali ikubali kuunda tume huru arusha hatuwezi kwenda kwa staili hii ya mabomu bila kuelewa source ni nini
 
Chama cha Mauzauza hebu angalieni bajeti mbadala hiyo, mnaweza kuitumia hata kimya kimya (tunajua utendaji wenu unategemea mawazo ya cdm) inaweza kutupunguzia makali japo kidogo.
 
Ni ajabu kwamba wabunge wa CCM wanaochangia bajeti ya Wizara ya fedha hakuna hata mmoja anayetoa pole kwa wahanga wa mabomu huko Arusha. Hii ni tu kupuuza au ni chuki tu mpaka binadamu wanakosa utu kiasi hicho au ni nini? Au kwa vile ni chadema haiwaumi?
 
Hao hata baba, mama, wajomba, shangazi, kaka, dada, na ndugu zao wengine wakifa wakiwa kwenye mkutano wachadema nadhani watasherekea, mbunge wangu vilikunjombe naomba ikiwezekana usichangie maana tunadhani walau una utu kwa watanzania wote.
 
Ni ajabu kwamba wabunge wa CCM wanaochangia bajeti ya Wizara ya fedha hakuna hata mmoja anayetoa pole kwa wahanga wa mabomu huko Arusha. Hii ni tu kupuuza au ni chuki tu mpaka binadamu wanakosa utu kiasi hicho au ni nini? Au kwa vile ni chadema haiwaumi?

Kiongozi!

Wapi ulisha sikia kwamba "SHETANI AKI ZEHEKA HUGEUKA KUWA MALAIKA"? Wewe si ulimuona Rage akimfukuza mtu na mlingoti wa bendera ili amuue?

Na kule Makuyuni si umesikia ya Nassari na Wasomali? Ndio mwanzo huo. Ili mradi wamesha penya, ndio mwanzo huo.
 
Kwa kweli inasikitisha sana. Wanaendelea na business as usual as if nothing has happened! This is pathetic.
 
Back
Top Bottom