Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,986
- 168,513
Huyu bwana anasafiri sana kwa sababu sio mnywaji. Angekuwa anapiga Safari lager wala asingekuwa anamaliza pesa zetu kwa safari za ughaibuni zisizokuwa na tija
Hebu muacheni bwana.kwani kabla ya hapo si alikuwa waziri wa mambo ya nje?
Mi nadhani tatizo ni ile ndege aliyoinunua Mkapa,isingekuwepo sidhani kama angekuwa anasafiki kiasi hicho...