Maoni ya Hussein Bashe bungeni kuhusu TTCL

Hizi akili za ufipa ndio maana hamshiki dola
 
Sasa afadhali nani awe na hayo madaraka? TR ambaye kwa nafasi yake lazma awe msomi aliyebobea kwenye business administration na corporate governance? Au waziri mteule wa kisiasa ambaye nafasi yake inamtaka tu ajue kusoma, kuandika na kuhesabu?
 
Soma Job Description ya Msajili wa Hazina. Sheria inatamka kwamba yeye ndio msimamizi wa mashirika yote ya umma. Sasa Bashe anauliza swali la msingi sana..Msajili atasimamiaje shirika la umma kama sheria inayounda nafasi yake inavyoelekeza...huku sheria inayoanzisha shirika hilo ikimpa waziri powers za usimamizi? Maana yake ni kwamva msajili anakosa meno ya kufanya kazi yake. Labda kama wewe unataka msajili asiwepo kabisa
 
Naomba nikusaidie mkuu. Kuna recruitment agencies kibao anaweza akafanya consultancies na watu wakaajiriwa ilimradi kuwepo na job descriptions, job design and responsibilities kwa kila kazi kwenye shirika husika. Akisaidiana na management ambayo itakuwa chini yake huyu treasurery anaweza akaajiri kwa mashirika yooote bila utata wowote. Think big
 
Hizi akili za ufipa ndio maana hamshiki dola

Dola wenzio mpaka paund sterling, humu JF wengine hatuko katika siasa ni wanzengo tu na tuko kufunza vilaza kama nyie mkae katika mstari. Ukweli unabaki kuwa ukweli haijalishi kasema nani na JF watu wana dare to talk, huko kwenu mnadumisha fikra za Mkiti !!! sasa huyu wasasa anapanga kuchukua mpaka mahali zenu ili apate mapato kwenda kusaka nje hawezi anataka kuletewa na wanaume wenzie.

Keshadhulumu wenye magari na madereva, EFD mpaka chinga na bodaboda, ana watia roba wafugaji kudhulumu mifugo yao na jinsi ya matumizi yake bado hazitoshi kitafuata sasa mahali zeenu tu mkiwa wa kiume au wa kike yeye anataka makuta kweli kweli.
 
Wewe nyumbu utamfundisha nani akili kijiko hiyo nenda kamfundishe kengeza kuongoza chama chako
 
Kwahiyo na wewe kwa akili yako serikali ikaajiri recruitment agencies kwa ajili ya kuajiri Wafanyakazi wake wakati wataalam chungu mzima wamejaa wizarani?

Kisa tu waziri asipendekeze mfanyakazi?
 
Wewe nyumbu utamfundisha nani akili kijiko hiyo nenda kamfundishe kengeza kuongoza chama chako

tatizo lenu hasira hata Dere wenu yuko kama wewe akiguswa tu anataka kurusha ngumi, bunduki mara taarabu kuliko wazara wenyewe. Hii game haitaki hasira
 
Anakosaje meno wakati amepewa haki zote za monitoring, auditing, consulting, managing, directing and all it takes to get better kisa tu sio sehemu ya uteuzi kazi yake imekuwa ngumu?

Kwani yeye kajiteua mwenyewe?
 
Huyo TR anatakiwa atolewe wizara ya fedha na mipango akahamishiwe kwenye wizara ya ajira na utumishi (kama ipo) sababu Mashirika ya serikali yapo kwa makumi Nafikiri hiyo task ya kuajiri na kutengua itakua inamtosha kama main general task kwenye hiyo idara Sidhani kama atapata muda wa kudeal na treasury stuff nafikiria waziri akabidhiwe hilo jukumu itapendeza zaidi.
 
Zao la UVCCM hongera chama changu CCM Kwa kuwA na vijana jeuri
 
Kama kuna miti hyo line of sight itatokea wap? Halaf huyo aliekuambia Airtel wanachukua internet kutoka ttcl ndo kakudanganya kabisa
 
Kweli huyu Bashe alisoma na akaelewa kiasi kwamba analinganisha maarifa aliyonayo na khari halisi Big Up Bashe
 
Ttcl imejaa wababu na wabibi wa kikoloni yaani ilitakiwa wapigwe chini wote tupia vijana wa Tehama wenye damu changa tupia mkurugenzi anayejua mambo ya kidigital muone moto mbona hawa voda na tigo watasanda.
Kwa kipi cha mno mpaka nikafanye kazi ttcl? Kwa mshahara upi ambao mkuu ameshatoa bei elekezi usizidi 10mil....acha wabaki na makapi ya wataalamu na sekta binafsi ivhukuwe cream inayolipwa kadiri inavyoingiza faida.
 
Hizi akili za ufipa ndio maana hamshiki dola
Dogo uguza kichwa matumizi ya akili ni zaidi ya kushika dola....wewe shika dola kama trump ila vichwa vya senate na congress vikuongozee dola yako....

hapa inatakiwa akili ya kuongoza dola na sio kushika wakati huwezi kuongoza....

haya bashe anaongoza dola yule magogoni kashika....jifunze tofauti ya chama kushika HATAMU na raisi kushika PATAMU....utaelewa siku kofia zikitenganishwa.
 
CCM tumekamilika kila idara, hapo Bashe anakesha akijisomea nondo, akifika bungeni anashusha nondo tupu. Huku kuna Milinga na Kusinde wakiinuka wanatukanatukana mitusi wanakaa. Mtakatizia wapi
Hawa wawili wa mwisho ndiyo think tank wa chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…