Mbona hili jukwaa la MMU, PM, na hata chat ilivyokuwepo ndo kazi yake? Unataka nini zaidi ya hayo?
yah good idea
Hii naona ni nyeri au??Kuna jamaa yangu akasemaga unajua unakuta mtu yuko single na anatafuta mwenza ila hakunaga forum za watu wa aina iyo.
Ni idea nzuri kuwe na kasehemu kaa aina iyo
Itakuwa meaningless!!nikuwa wajasiri!!Ni vizuri but huko mtu awe na id mpya ,maana mtu anasoma vigongo vyako hapa hadi anataka tapika leo eti unataka date mh
Usijekukutana na sanamu la michelini bule jiandae
au mcharuko!!!!!!!
Itakuwa vyema kama wana JF tutaanzisha dating hapa jukwaani, itasaidia watu kuelewana zaidi, wenye bahati zao wanaweza kujipatia wachumba. Ni maoni tu!
ndiyo hapo watu watajibeba. pata taswira unakutana na mbilikimo wakati ana maneno matamu na sauti nzuri
vizuri kuwa mwangalifu na jua ulifanyalo