Maoni: Samatta ni mzigo Taifa Stars, aondolewe

Samatta ni bwege sana, na hawa wanaomtetea wanatoa sababu za kijinga jinga tu.

Hivi mtu anapoteza mipira kizembe halafu anakenua meno, jamaa anajiona faza sana.

Mm nashauri kocha asiangalie jina awe anachukua maamuzi magumu ya kumuweka benchi. Timu ya taifa ni kubwa kuliko huyo Samantha.
 
Wewe mpira gani unafahamu ?we mwenyewe kichaaa
 
Ongea sana ila huyo timu ya taifa bi boya tu
 
Usifananishe hao na huyo mkata mauno
Kawambie Messi ,Ronaldo ,Mane,Salah hawana msaada team zao za Taifa ,wanavyocheza kwenye vilabu tofauti na team zao za taifa.
 
Jana kaniboa mbaya kazi take ilkuwa kuchekacheka kistar na kwadharau fàla sana bora aumie ili asiitwe.
 
dirisha dogo la usajili linakuja halafu samatta ajiumize kwasabb gani uzalendo au? https://jamii.app/JFUserGuide off wacha ajikinge apamabne kwa wazungu amabao watamtunza than kupambana kwa kivuli cha uzalendo halfu akiumia tunamcheka
 
Benchi la ufundi wanahofia lawama tu tukipoteza mechi bila Samatta kuitwa kikosini lakini hakuna lolote analofanya national team.

Ndayiragije ni msikivu I bet atamuacha tu kama alivyomuacha Ulimwengu na Kichuya.
 
Genk anapocheza hamna walinzi,uefa kwa liverpool alifunga mbele ya mabeki gani wa liverpool,samata hana lolote timu ya taifa ni kama anakuja kufanya zoezi tu hajitumi
Kwamba mabeki wa liverpool ni vilaza hebu tueleweshe hapa sisi mashabiki wa liverpool tukusikie
 
Hata Messi naye huwa wanamsema hivyo hivyo kuwa kiwango anachochezea Barcelona sicho kiwango anachochezea Argentina eti kwa sababu tu hana kombe la dunia lakini mwisho wa siku yeye kama yeye bado atabaki kuwa mmoja wa wachezaji bora duniani

Kwahiyo fitina kama hizo hazimuondolei mchezaji kama Samatta ubora wake
 
Sko hivo kama anaogopa kuukia basi angekua anatoa pasi za uhakika.
dirisha dogo la usajili linakuja halafu samatta ajiumize kwasabb gani uzalendo au? **** off wacha ajikinge apamabne kwa wazungu amabao watamtunza than kupambana kwa kivuli cha uzalendo halfu akiumia tunamcheka
 
Wamuwache tu kwa kweli ni mzigo,
Ila yupo sawa asije akaumia alafu mpango wa kusajiliwa barcelona ukafa
 
😆😆😆😆
 
Jana kaniboa mbaya kazi take ilkuwa kuchekacheka kistar na kwadharau fàla sana bora aumie ili asiitwe.
Maneno yote makali hayo unamtupia captain wetu?? We jamaa kweli sio mzalendo na haufai hata robo
Hakika nimehuzunika sana comment yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…