MAONI:. Ndoa ,,, Waislam vs Wakristo

MAONI:. Ndoa ,,, Waislam vs Wakristo

Status
Not open for further replies.

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,399
Reaction score
16,741
Naomba kufahamu , ni kwanini Waislam hawako tayari dada/mabinti zao kuolewa na Wkristo wakati wao wanaoa dada zetu(WAKRISTO) ,,

Taqfadhali maoni.

NO OFFENCE PLEASE.
 
khaa! Nakataa! Kuna Wakiristo wameowa waislamu na pia wapo wakiristo wanaokataa watoto wao kuolewa na waislamu. In short, edit swali lako, lilenge ku-gain something na sio kuleta ushabiki hapa...!
 
sikatai mawazo yako ...ila wajua kwamba waislam ni wengi wanaooa dada zetu kuliko wakristo.... na kwa taarifa tu ,they feel proud kuoa wakristo na wanasisitiza hilo...

No Offence please
 
hapa nilipopanga .. ni nyumba ya mzee wa kiislam.. Mtoto wake wa kiume juzi kafunga ya mkeka na binti wa kikristo..
wapangaji wenzangu mabinti wa kikristo wawili wanamapenzi na vijana wa kiislam na mmoja kashazaa nae,,,,

Makazini ndo zaidi..
 
sikatai mawazo yako ...ila wajua kwamba waislam ni wengi wanaooa dada zetu kuliko wakristo.... na kwa taarifa tu ,they feel proud kuoa wakristo na wanasisitiza hilo...

No Offence please

Hapo sasa umenena!
Kwa elimu yangu ndogo, nahis Waislamu kuoa wakiristo ni kama mission flan ya kutoa watu kizani na kuwaleta kwenye nuru ya uislamu thus why wanakataa watoto wao kutolewa katika nuru na kuingizwa kizani.
No offence!
 
Hapo sasa umenena!nahis Waislamu kuoa wakiristo ni kama mission flan ya kutoa watu kizani na kuwaleta kwenye nuru ya uislamu thus why wanakataa watoto wao kutolewa katika nuru na kuingizwa kizani.
Kwa elimu yangu ndogo,
No offence!

with alll due respect ... naomba nifafanulie vizuri hapo red. ,, tufaham ukweli
 
Waislamu wanaume wameruhusika kuowa Ahlul-kitabu maana yake ni (wakristo na mayahudi) hawa ni wanawake wema miongoni mwa waliopewa kitabu“walmuhswanatu mina ladhina uutulkitaba” Mwanamke wa kiislamu haruhusiki kuolewana wakristo au mayahudi. Ni kwamba mwanamume awendiye mwenye mas-uliyah na nyumba na watoto, kwani kwa Hikma ya Allaah سبحانه وتعالى Amemfanya mume awe kiongozi wa nyumba kwa sababu itakuwa ni wepesikwake kumuongoza mkewe. Na inabidi Muislamu anapooa Ahlul-Kitaab ajitahidiawezavyo kumuongoza katika dini ya Uislamu. Lengo kubwa kwamuislamu kuowa wakristo ni kumuongoza katika njia iliyonyooka nayo nayo ni diniya kiiislamu. Mwanamke ni dhaifu na mwepesi hivo haruhusiki kuolewa na mayahusiau wakristo. Mpaka apo nadhani nimeleweka uzuri. Allah ndie anayejua zaid
 
Katika uislam hakuna ndoa ya muislam na asiyekuwa wa dini hiyo. Kama ni lazima aolewe ni sharti akubali tena kwa hiari yake kuwa muislam ndipo ndoa ifungwe. Tusichanganye kati ya watu wenye majina ya kiislamu who knows nothing about the morals and values of the religion, and the true muslims. Kuzaa na mkristu haimaanishi kuwa ni mkeo, huyo ni mzinzi mwenzio na huyo mtoto katika dini hatambuliki.
HUU NDIO UKWELI
 
with alll due respect ... naomba nifafanulie vizuri hapo red. ,, tufaham ukweli

Unajua Ktk uislamu kila memba anaduty ya kulinda, na kuendeleza dini kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa wengine, jamii moja kwenda nyengine, hivyo bas kama unavyojua mambo ya kiimani, mtu hujiona dini yake ndio sahihi na kuziona nyingine ni potofu. Nadhana nimeeleweka!
 
Waislamu wanaume wameruhusika kuowa Ahlul-kitabu maana yake ni (wakristo na mayahudi) hawa ni wanawake wema miongoni mwa waliopewa kitabu"walmuhswanatu mina ladhina uutulkitaba" Mwanamke wa kiislamu haruhusiki kuolewana wakristo au mayahudi. Ni kwamba mwanamume awendiye mwenye mas-uliyah na nyumba na watoto, kwani kwa Hikma ya Allaah سبحانه وتعالى Amemfanya mume awe kiongozi wa nyumba kwa sababu itakuwa ni wepesikwake kumuongoza mkewe. Na inabidi Muislamu anapooa Ahlul-Kitaab ajitahidiawezavyo kumuongoza katika dini ya Uislamu. Lengo kubwa kwamuislamu kuowa wakristo ni kumuongoza katika njia iliyonyooka nayo nayo ni diniya kiiislamu. Mwanamke ni dhaifu na mwepesi hivo haruhusiki kuolewa na mayahusiau wakristo. Mpaka apo nadhani nimeleweka uzuri. Allah ndie anayejua zaid

aiseeeee!!!!
 
Pale inapotokea Muislam anaishi na binti wa kikristo na labda wamepata watoto wawili, alafu wanagawana dini mmoja anabaki kuwa mkristo na mwingine anakua muislam ... na baba anaenda msikitini kama kawaida.

imekaaje hiyo????
 
Hapo sasa umenena!
Kwa elimu yangu ndogo, nahis Waislamu kuoa wakiristo ni kama mission flan ya kutoa watu kizani na kuwaleta kwenye nuru ya uislamu thus why wanakataa watoto wao kutolewa katika nuru na kuingizwa kizani.
No offence!

unachekesha kweli,eti kutoa watu kizani
kuwaleta kwny nuru hahahahaaaaaa!!pole maana
huku kwetu dada zenu wanabadili dini kila kukicha so
mapenzi ni makubaliano ya wawili!!
 
Muislamu wa kiume anatakiwa akae na muyahudi au mkiristo (ahlul-kitab) wakiowana kwa muda maalum tu kwa ajili ya kumuongoza mkewe katika dini ya haki. Ikiwa imeshindikana atatakiwa kumuacha ila watoto watakua chini ya baba yao katika malezi ya kiislam. Kwa sababu mwanaume ndio kiongozi wa familia.
 
Pale inapotokea Muislam anaishi na binti wa kikristo na labda wamepata watoto wawili, alafu wanagawana dini mmoja anabaki kuwa mkristo na mwingine anakua muislam ... na baba anaenda msikitini kama kawaida.

imekaaje hiyo????
Muislamu wa kiume anatakiwa akae na muyahudi au mkiristo (ahlul-kitab) wakiowana kwa muda maalum tu kwa ajili ya kumuongoza mkewe katika dini ya haki. Ikiwa imeshindikana atatakiwa kumuacha ila watoto watakua chini ya baba yao katika malezi ya kiislam. Kwa sababu mwanaume ndio kiongozi wa familia.
 
nilichopenda kwenye hii mada ni jinsi inavyojadiliwa kwa ustaarabu na uweledi na bila kuharibu hali ya hewa
big up kwa wachangiaji....nia ni kujifunza na kujua hali halisi ilivyo
mada zote zikienda hivi jamii forum itakuwa nzuri sana
 
Naomba kufahamu , ni kwanini Waislam hawako tayari dada/mabinti zao kuolewa na Wkristo wakati wao wanaoa dada zetu(WAKRISTO) ,,

Taqfadhali maoni.

NO OFFENCE PLEASE.

Acha unafiki kijana kajipange upya. Si uislamu wala ukristo unaotambua ndoa za watu wa dini mbili tofauti au za kiserikali.
 
Muislamu wa kiume anatakiwa akae na muyahudi au mkiristo (ahlul-kitab) wakiowana kwa muda maalum tu kwa ajili ya kumuongoza mkewe katika dini ya haki. Ikiwa imeshindikana atatakiwa kumuacha ila watoto watakua chini ya baba yao katika malezi ya kiislam. Kwa sababu mwanaume ndio kiongozi wa familia.

huoni kama hapo utakua umepingana na sheria ya ndoa na haki ya watoto kwa mama na mama kwa watoto.. mwanamke pia ana haki ya watoto. Je! huo si ukandamizaji?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom