Mama Naa
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 922
- 2,165
Ni kweli japo wenye scale LSS za mishahara watakupuuza.Nipo apa na jamaa mmoja anatupa story yeye ni mwalimu anasema inafikaga wakati hali inakuwa ngumu hata Familia inalala njaa. Walimu wana mishahara midogo sana hawawez hata kujiamini popote pale walipo ndio mana wana hofu
Uoga wao ni kutokana na ugumu wa maisha waliyonayo, serikali waoneeni huruma walimu jamani na hii January ili wapate nauli ya kurudi makazini lazima wakakope Bayport
Bora mtoto wakala wa mpesa tigo pesa kuliko kuwa mwalimu kwa hali ya Ualimu kwa sasa hivi.