Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,128
- Thread starter
-
- #781
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakika mkuu Kuna mwalimu nlikua nae chalinze maeneo ya lugoba tulikua tunakunywa nae mabuyu, gongo na mnazi kachoka huyo Kama Teja. Ni mtu mzima kdogo lakni anaonekana Kama mzeee. Kuna muda anakosa hata mia mbili ya kununua buyu(wanzuki) inabidi anitanie Mimi mpaka nicheke ndo nimchukulie matano ya buku ndo anywe. Kiufupi mwl ana life ngumi kuliko hata mlinzi wa kampuni binafsi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushapigwa kibaridi sasa mk unawasha.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie.Mwalimu gani anywe bilima kwa mshahara upi? Ukiona mwalimu kashikilia chupa kubwa ya maji ujue katoka semina, 90% ya waalimu wana mikopo ya kauusha damu au ya benki mwalimu mpaka anasitaafu hajawahi kupokea mshahara wake kamiri.........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kwa Kweli serekali Sasa iangalie maslai la Hili kundi
Nimemkopesha mwalimu mtungi wa guess toka mwez wa nane Hadi leo ameshindwa kunilipa Sasa nazaka papuchi yake tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dunia ya sasa tofauti na zamani wenye pesa kama sisi ni kubadilisha location tu, Jumatatu mpaka Jumatatu ukitoka kitambaa Cheupe Jumanne tunaenda Small Planet, Jumatano Wavuvi camp, Alhamis Liquid bar, Ijumaa tunaruka Maasai, Jumamosi tunarudi Kisuma afu Jumapili tunapaa Beach Kidimbwi kutumia pesa
Lakin walimu wanabaki kunywa balimi na double Kiki tu, ananuka vumbi la chaki suruali imepauka shati halijulikani ni jekundu au lapink. Wapo wapo tu kazi yao kukopa sukari na dagaa kwenye viduka vya mangi. Utakuta wamevaa viatu vya four angle vya buku tatu tatu. Hawana jipya hawa sijui wana faida gani
Inaonyesha ulipata zile Tsh 50m ulizosema ukipewa unatoa kinyeo. Au uliolewa kabisa?Dunia ya sasa tofauti na zamani wenye pesa kama sisi ni kubadilisha location tu, Jumatatu mpaka Jumatatu ukitoka kitambaa Cheupe Jumanne tunaenda Small Planet, Jumatano Wavuvi camp, Alhamis Liquid bar, Ijumaa tunaruka Maasai, Jumamosi tunarudi Kisuma afu Jumapili tunapaa Beach Kidimbwi kutumia pesa
Lakin walimu wanabaki kunywa balimi na double Kiki tu, ananuka vumbi la chaki suruali imepauka shati halijulikani ni jekundu au lapink. Wapo wapo tu kazi yao kukopa sukari na dagaa kwenye viduka vya mangi. Utakuta wamevaa viatu vya four angle vya buku tatu tatu. Hawana jipya hawa sijui wana faida gani
Kwanza hawq mods wenyewe maandazi sana. Nimemkemea huyo kenge wamefuta nyuzi zangu.Asiye na akili ni mama yako aliyekutoa kwenye nanihiiii...
Mods msinionee kwa ajili ya huyu kenge. Mniache tu nilale naye mbele maana yeye ndo kaanzisha matusi.
Ualimu ni kazi? Nitakuwa wa mwisho kuaminiKAZI ni kipimo cha utu
Kambale hawa vichwa box [emoji57]Duh ! Mpwayungu Kwa nini unabifu na mashika Chaki ?
Kwa walimu wa bongo naona kunguni ana maisha mazuri kuliko waoMshahara unatosha sana, ila inategemeana na unafanya kazi wapi..
Marekani na nchi zinazojali raia zao huwa wanaweka viwango vya mishahara kulingana na gharama za maisha za jimbo au mkoa husika..
Mfano pale Marekani, mshahara wa mtu anayefanya kazi New York haufanani na anayefanya kazi Alabama.
DuhKwa walimu wa bongo naona kunguni ana maisha mazuri kuliko wao