Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,884
- 7,021
Siyo kwamba una tatizo la afya ya akili? Why kila siku wewe ni kuwakejeli tu walimu?Hakuna wa kumkomboa mwalimu isipokuwa wao wenyewe, walimu wanaishi maisha ya hovyo punda akasome lakini bado tuu wapo kwenye kazi.
Mimi nawashauri waache kwanza kazi watafute na kupigania ukombozi wa kifkra ili hii kada angalau ifikie heshima hata ya mlinzi WA makaburi ya kisutu.
Mwalimu ukimkoromea tu anaogopa mpaka anajamba, Nina imani hata ukimtisha akupe pesa kama hataki unamfukuza kazi hiyo pesa atatoa![]()

great thinker