Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Mkuu toa ushuhuda ebu watu wajifunze, nini kilikukuta
yaan mshahara wangu naenda kuuchukulia kwa kausha damu tena ni elfu 43 tu ndio iliyobaki nyingine wanakata riba na marejesho niliyopitisha siku za nyuma.

Kweli ndruuuugu zangu hii ni haki kadi ya benki na password anakaa nazo kausha damu dah!! Eti miezi mi5 ndio deni litaisha...

Nyie jomoni jomoni maisha haya kweli ni msongamano..
 
Mmh utakua unafundisha primary
 
We si mwana CCM nimekuona kwenye ule uzi wa nyumba ya Mbowe ukishabikia ujinga.

Niambie kama nimekufananisha.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]INABIDI MATICHA WAKUOMBE SAMAHANI ..KWANI ?walikukosea nn hawa watu yaan kunguni ana life bora kukiko mwalim masawe alie nifundisha Geograph [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa mbwa koko Hawana kitu mkuu
 
Kuna sehemu nilikwenda ni kijijini sana yani kuna shule hadi ya sekondari na ina wanafunzi wengi tuu! Kuna nyumba za walimu zimejengwa na wanakijiji lakini umeme hakuna na maji hakuna kwa hiyo maji wanayatoa mbali inabidi kuwatumia wanafunzi kupata maji…

Sasa kwa hali kama hii kwanini kada hii isidharaulike? Na kwanini wasilipwe posho za mazingira magumu kama kada ya afya?
Sasa hapo posho italeta maji ama umeme? Posho na vitu ulivyoviongelea mbona haviendeni?
 
Back
Top Bottom