Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,047 Jan 28, 2021 #1 Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja. Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN. Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine.
Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja. Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN. Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine.
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,011 Reaction score 150,546 Jan 28, 2021 #2 Angelidaka mechi ya jana Kaseja ni kiongoz mzuri uwanjani.
Mr_X JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 1,170 Reaction score 2,339 Jan 28, 2021 #3 Kwani Ettiene bado hajatimuliwa tu?
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,375 Reaction score 10,118 Jan 28, 2021 #4 Tatizo letu Watanzania, taaluma ya Ukocha tunayo hivyo basi msitushangae tutashabikia halikadhalika tutakosoa kwa sana...! Mtusamehe ndugu zetu
Tatizo letu Watanzania, taaluma ya Ukocha tunayo hivyo basi msitushangae tutashabikia halikadhalika tutakosoa kwa sana...! Mtusamehe ndugu zetu
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,047 Jan 28, 2021 Thread starter #5 Mr_X said: Kwani Ettiene bado hajatimuliwa tu? Click to expand... Sijui wana subiri nini?
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,047 Jan 28, 2021 Thread starter #6 kinje ketile said: Tatizo letu waTz, taaluma ya Ukocha tunayo hivyo basi msitushangae tutashabikia halikadhalika tutakosoa kwa sana...! Mtusamehe ndugu zetu Click to expand... Dunia nzima iko hivyo. Wapo wachache wanaojiona wao tu ndiyo wanajua.
kinje ketile said: Tatizo letu waTz, taaluma ya Ukocha tunayo hivyo basi msitushangae tutashabikia halikadhalika tutakosoa kwa sana...! Mtusamehe ndugu zetu Click to expand... Dunia nzima iko hivyo. Wapo wachache wanaojiona wao tu ndiyo wanajua.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,820 Reaction score 13,775 Jan 29, 2021 #7 Sibonike said: Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja. Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN. Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine. Click to expand... Huyo labda shemeji yake, kaachwa Metacha.
Sibonike said: Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja. Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN. Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine. Click to expand... Huyo labda shemeji yake, kaachwa Metacha.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,093 Reaction score 27,183 Jan 29, 2021 #8 Sibonike said: Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja. Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN. Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine. Click to expand...
Sibonike said: Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja. Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN. Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine. Click to expand...
Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,708 Reaction score 1,733 Jan 29, 2021 #9 Sibonike said: Sijui wana subiri nini? Click to expand... Labda wanasubiri arejee wagawane mshiko.
Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,708 Reaction score 1,733 Jan 29, 2021 #10 Sibonike said: Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja. Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN. Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine. Click to expand... Mkuu hujagundua tu? Timu ya taifa ikiwa na mechi ya kirafiki hapa nchini haitwi ila ikitoka nje ya nchi yumo!
Sibonike said: Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja. Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN. Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine. Click to expand... Mkuu hujagundua tu? Timu ya taifa ikiwa na mechi ya kirafiki hapa nchini haitwi ila ikitoka nje ya nchi yumo!
Aladeen04 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 3,580 Reaction score 5,795 Jan 29, 2021 #11 Angetafuta mwingine yupi sasa? Ye kamuona huyo.