Maonesho ya zana za kilimo, Wisconsin, USA

GREAT INVESTOR

Senior Member
Nov 13, 2018
128
295
Leo nimebahatika kuhudhuria maonesho ya zana za kilimo USA, wala hakuna maajabu, asilimia kubwa ya hizi technologies hata kwetu zipo.

Utofauti mkubwa wao ni watengenezaji wa hizi technologies na sisi ni watumiaji, lakini pia kwao zipo kwa wingi sana ukifananisha na kwetu.

Chini nitaweka picha za zana tofauti tofauti za miaka ya nyuma na sasa.


IMG_20210721_105058.jpg
20210721_113908.jpg
IMG_20210721_105049.jpg
MVIMG_20210721_111717.jpg

View attachment 1862896View attachment 1862897View attachment 1862898
 

Attachments

  • 20210721_113027.mp4
    16.5 MB
  • VID_20210721_104104.mp4
    2.8 MB
  • VID_20210721_104950.mp4
    7.1 MB
  • VID_20210721_105026.mp4
    5.2 MB
  • VID_20210721_104104.mp4
    2.8 MB
HONGERA!
Zipo kwetu?? Hatuzitumii tu ati?? 😂 😂
Mkuu zipo kwenye makaratasi!
Jembe la mkono na mundu ndiyo tulipokwamia watz.
Mwekezaji akileta, wanakopa wanasiasa, kilafi, hawalipi, mwisho wa siku, wanauza screpa.

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Mkuu mashine heavyweight Kama hiyo hapo juu nadhani zipo kwenye mashamba makubwa ya makampuni mfano mtibwa sugar kagera sugar labda na kwa sumri kule rukwa.
 
HONGERA!
Zipo kwetu?? Hatuzitumii tu ati??
Mkuu zipo kwenye makaratasi!
Jembe la mkono na mundu ndiyo tulipokwamia watz.
Mwekezaji akileta, wanakopa wanasiasa, kilafi, hawalipi, mwisho wa siku, wanauza screpa.

Everyday is Saturday................................:cool:
Yap,,nimesema zipo ila chache....,kwa watu wa chache
 
mewahi fika Mbulu ukiwa unaelekea Ngorongoro conservation area, nkakuta combine harvester za kuvunia nganooo, ilikuwa ni mitamboo, as seen for the first time

Changamoto kwetu ni kuweza kuitunza na kupata vivaa vyake inapoharibika, pia gharama ya kuiendesha na mavuno yatokayo kwa kutegemea mvuaa.
 
Back
Top Bottom