Maonesho ya kazi za kishirikina

Maonesho ya kazi za kishirikina

Wacha nikagongee veve
.
1568914226018.jpeg
 
Umeshapata kibali mshana, maana nataka siku ya maonyesho nilitoe joka langu kubwa sana aliloniachia babu yangu Kabikula, ambalo urefu wake hauna mwisho, maana huwa likitoka kwenda kunywa maji likikatiza barabara huwezi kujua kichwa kiko wapi mkia uko wapi, hujui linaelekea wapi nilitoe na mimi mlione.
 
Umeshapata kibali mshana, maana nataka siku ya maonyesho nilitoe joka langu kubwa sana aliloniachia babu yangu Kabikula, ambalo urefu wake hauna mwisho, maana huwa likitoka kwenda kunywa maji likikatiza barabara huwezi kujua kichwa kiko wapi mkia uko wapi, hujai linaelekea wapi nilitoe na mimi mlione.
[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kuruka na ungo live.. Cheki hapa
 
CC: @mrangi
 
Mi naomba kujua machache kutoka kwa Mshana Jr
Haya mambo ya gizani na wewe ni kama usingizi na kitanda,
Unashiriki au umewahi kushiriki?
Umejifunza?
Umeishi na kukua nayo?
Ama kuna namna ambayo sikuitaja hapo juu!
 
Waafrika kuna mahali tumepigwa chenga ya mwili kisha tukaachwa solemba... Mabeberu (kwa jina pendwa la chama kikuu) walitukuta na sayansi yetu ya asili ikiwa imepiga hatua kubwa kwenye utafiti, matokeo na utendaji pia....wakaona tukiendelea nayo tutakuja kufanya makubwa na kuwaacha mbali na pengine hata kuwatawala...

Wakaona hatari na kitisho kinachowakabili... Wakaja na mbinu ya kukandia vya kwetu na kusifu vya kwao... Wakafanikiwa kwenye hili... Kishapo badala ya kutufunza vya kwao vizuri wakatunyima maarifa haya

Nasikitika kusema kwamba mwaka jana tulipanga kuwa na kongamano kubwa la wachawi na washirikina lakini lilishindikana kufanyika kutokana na serikali kutoitambua hii kaliba.... Lakini cha ajabu kuna mkoa mwaka huu kuna waganga wachawi zaidi ya mia walikusanyika na kutoa ultimatum kwenye jambo la kisiasa... Imagine huo ni mkoa mmoja tuu...!!! Kuna walozi zaidi ya mia

Kuna huyu ndugu yetu 4G LTE ameanza kutuletea simulizi za visa vya kushangaza visivyo na majibu huko ulaya.... Nina hakika visa kama hivyo vilivyokosa majibu ya kisayansi huko kwao hapa Africa vingepatiwa ufumbuzi kupitia kaliba ya ushirikina uchawi na ulozi.....

Sasa hivi tumebaki tupotupo tu... Ushirikina tunaambiwa ni mbaya na hauna faida... Sayansi tunayohubiriwa kuwa ndio mkombozi tunabaniwa maarifa yake... Hebu katembelee tume ya sayansi ya Tanzania utaniambia...

Sasa ili kuweza kuwa na way forward ni vema sasa tukaandaa msimu wa kazi za kishirikina, kichawi na ulozi ili kuvunja ile miiko na dhana dhanifu kuwa hii tasnia haina mema wala faida... Maonesho husika yatasaidia kuleta mwamko mpya wa elimu ya giza, utafiti na hata matokeo yenye faida kwa jamii

Maonesho husika yatasaidia kuondoa woga kwa baadhi ya mafundi na kufanya waoneshe kwa uwazi zana za maangamizi walizo nazo... Licha ya kuwa ni maonesho yatayakostua na kushangaza wengi lakini yatalifanya taifa lijulikane zaidi huku yakivutia utalii na kutoa msukumo wa wageni wengi zaidi kutaka kufahamu zaidi...
Najaribu kuandaa andiko mradi kisha nilipeleke wizara husika, pengine kipindi hiki tutasikilizwaView attachment 1172515
Mzee wa Anga nakuona idea ila nakualika kwa hatua za utekelezaji naomba tunafanyie Mahali ambapo wazungu Watalii wataona tukitest makombora
 
OG hiyo kaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ILI IPITE HARAKA labda badilisha title kdg kwankutoa kishirikina ili kupata kibali ukirudi ni mwendo wa kulogana tu navuta picha Hindi nitakavyo Resha makombora hapo uwanjani kuonyesha nani Ana zananbora za kishirikina Na kulazana juani na kupindisha midomo watu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Mi naomba kujua machache kutoka kwa Mshana Jr
Haya mambo ya gizani na wewe ni kama usingizi na kitanda,
Unashiriki au umewahi kushiriki?
Umejifunza?
Umeishi na kukua nayo?
Ama kuna namna ambayo sikuitaja hapo juu!
 
Imekaa vizuri ngoja tupambane
Mzee wa Anga nakuona idea ila nakualika kwa hatua za utekelezaji naomba tunafanyie Mahali ambapo wazungu Watalii wataona tukitest makombora
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
ILI IPITE HARAKA labda badilisha title kdg kwankutoa kishirikina ili kupata kibali ukirudi ni mwendo wa kulogana tu navuta picha Hindi nitakavyo Resha makombora hapo uwanjani kuonyesha nani Ana zananbora za kishirikina Na kulazana juani na kupindisha midomo watu
 
Wana kutana mwezi gani?
Hayo maonesho ya UCHAWI yapo mkoani SIMIYU wanaita MBINA wanashindana uchawi maonesho hayo yananzia ngazi ya Tarafa,Wilaya na kilele ni Ngazi ya Mkoa ambapo wanakuta magwiji nilistajabu sana.

Huwa yanafanyika kila mwaka na yanadhaminiwa na viongozi wa Siasa hasa Mh. A.Chenge.

Hapo zamani kila kilele cha mahazimisho Mh. Rais mstafu Mkapa alikuwa ndyo Mgeni Rasmi baadae akawa Mh. Chenge lakini mwaka huu Sijamuona kiongozi yeyote wa Siasa.

Pia kwenye kilele cha sherehe hizo kunakuwa na mashindano ya magwiji wa ulozi kwa mfano mwaka huu nilishudia kuna ambao walizuia JUA kuwaka na kuleta mvua .

Kuna ambao wanazua Mvua kunyesha na kuleata JUA kali sana!

Pia kunakuwa na wageni wengi sana kutoka mikoani hasa Mkoa wa ARUSHA wanaelewa sana Waganga wa Simiyu!

Na mshindi ndyo anakuwa na wateja wengi kwa mwaka huo! .
 
Back
Top Bottom