NitainuliwaKwa nini iwe kipindi hiki? Inamaana umetuona sie watawala ndiyo walozi,wachawi na waganga?
Kwa taarifa yako tu,hilo andiko lako ndilo litalokufunga kwa kesi ya uhaini na uhujuma uchumi huku ukitakatisha fedha kwa zana za ulozi.
Magereza inakusubiri.
Duu hebu naomba connection tafadhali.... Nahitaji mno kukutana na waandaaji tafadhaliHayo maonesho ya UCHAWI yapo mkoani SIMIYU wanaita MBINA wanashindana uchawi maonesho hayo yananzia ngazi ya Tarafa,Wilaya na kilele ni Ngazi ya Mkoa ambapo wanakuta magwiji nilistajabu sana.
Huwa yanafanyika kila mwaka na yanadhaminiwa na viongozi wa Siasa hasa Mh. A.Chenge.
Hapo zamani kila kilele cha mahazimisho Mh. Rais mstafu Mkapa alikuwa ndyo Mgeni Rasmi baadae akawa Mh. Chenge lakini mwaka huu Sijamuona kiongozi yeyote wa Siasa.
Pia kwenye kilele cha sherehe hizo kunakuwa na mashindano ya magwiji wa ulozi kwa mfano mwaka huu nilishudia kuna ambao walizuia JUA kuwaka na kuleta mvua .
Kuna ambao wanazua Mvua kunyesha na kuleata JUA kali sana!
Pia kunakuwa na wageni wengi sana kutoka mikoani hasa Mkoa wa ARUSHA wanaelewa sana Waganga wa Simiyu!
Na mshindi ndyo anakuwa na wateja wengi kwa mwaka huo! .
mshana jr. katika ubora wakoWaafrika kuna mahali tumepigwa chenga ya mwili kisha tukaachwa solemba... Mabeberu (kwa jina pendwa la chama kikuu) walitukuta na sayansi yetu ya asili ikiwa imepiga hatua kubwa kwenye utafiti, matokeo na utendaji pia....wakaona tukiendelea nayo tutakuja kufanya makubwa na kuwaacha mbali na pengine hata kuwatawala...
Wakaona hatari na kitisho kinachowakabili... Wakaja na mbinu ya kukandia vya kwetu na kusifu vya kwao... Wakafanikiwa kwenye hili... Kishapo badala ya kutufunza vya kwao vizuri wakatunyima maarifa haya
Nasikitika kusema kwamba mwaka jana tulipanga kuwa na kongamano kubwa la wachawi na washirikina lakini lilishindikana kufanyika kutokana na serikali kutoitambua hii kaliba.... Lakini cha ajabu kuna mkoa mwaka huu kuna waganga wachawi zaidi ya mia walikusanyika na kutoa ultimatum kwenye jambo la kisiasa... Imagine huo ni mkoa mmoja tuu...!!! Kuna walozi zaidi ya mia
Kuna huyu ndugu yetu 4G LTE ameanza kutuletea simulizi za visa vya kushangaza visivyo na majibu huko ulaya.... Nina hakika visa kama hivyo vilivyokosa majibu ya kisayansi huko kwao hapa Africa vingepatiwa ufumbuzi kupitia kaliba ya ushirikina uchawi na ulozi.....
Sasa hivi tumebaki tupotupo tu... Ushirikina tunaambiwa ni mbaya na hauna faida... Sayansi tunayohubiriwa kuwa ndio mkombozi tunabaniwa maarifa yake... Hebu katembelee tume ya sayansi ya Tanzania utaniambia...
Sasa ili kuweza kuwa na way forward ni vema sasa tukaandaa msimu wa kazi za kishirikina, kichawi na ulozi ili kuvunja ile miiko na dhana dhanifu kuwa hii tasnia haina mema wala faida... Maonesho husika yatasaidia kuleta mwamko mpya wa elimu ya giza, utafiti na hata matokeo yenye faida kwa jamii
Maonesho husika yatasaidia kuondoa woga kwa baadhi ya mafundi na kufanya waoneshe kwa uwazi zana za maangamizi walizo nazo... Licha ya kuwa ni maonesho yatayakostua na kushangaza wengi lakini yatalifanya taifa lijulikane zaidi huku yakivutia utalii na kutoa msukumo wa wageni wengi zaidi kutaka kufahamu zaidi...
Najaribu kuandaa andiko mradi kisha nilipeleke wizara husika, pengine kipindi hiki tutasikilizwaView attachment 1172515
Hizo picha ni za nchi Fulani na najua pia amezitoa kwenye website ipi ..Na kweli zina copyright, aipe credit hio website yenye hio makalaHapa mnatafuta ban ya serikali, hizo zote si nyara za serikali
Ahahahaaaaaa kumbe sio za kule gamboshiHizo picha ni za nchi Fulani na najua pia amezitoa kwenye website ipi ..Na kweli zina copyright, aipe credit hio website yenye hio makala
Jibu la nakusubiri
[emoji120][emoji120][emoji120]huna contact za mtu yeyote kule?Sijafaham wapi pakuanzia ila huwaga wananza kipindi cha mavuno mwezi wa tatu ngazi za Tarafa na kilele ni mwezi wa Tano mwishoni au Sita mwanzoni.
Labda kwa kulifaham zaidi hilo ukiwasiliana na Mkuu wa Mkoa Mh.A.Mtaka anaweza akakupa maelezo ya kutosha lazima atakuwa na Taarifa za kutosha!
Hakuna gamboshi hapo mkuu, I know those countries ..Bolivia, Peru, na Mexico kwa baadhi tu, tena nilitaka binafs kwenda hizo sehem kuangalia , ni maeneo kabisa yametengwa kwa ajili ya kuuza hizo zana za kichawi au kupiga ramli, au kuangaliwa na kusomewa nyota yakoAhahahaaaaaa kumbe sio za kule gamboshi
Nitakucheki bro!Namba yako ninayo![emoji120][emoji120][emoji120]huna contact za mtu yeyote kule?
yaani mzee hz topic unaziwezea bhn....sidhni kam ww ni mpare..nathani unatokea congo[emoji108][emoji106][emoji23]