kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,259
- 13,268
Umenitoa tongo tongo mkuuHakuna gamboshi hapo mkuu, I know those countries ..Bolivia, Peru, na Mexico kwa baadhi tu, tena nilitaka binafs kwenda hizo sehem kuangalia , ni maeneo kabisa yametengwa kwa ajili ya kuuza hizo zana za kichawi au kupiga ramli, au kuangaliwa na kusomewa nyota yako


