Nimeona aisee ahsante sana [emoji120]Tayari angalia post no #41 halafu kuna kaujumbe nimekutumia
Jukwaa la uchumi kuna mtu alikuwa anatafuta kaziNikumbushe tafadhali ilikuwa ipi iyo?
Kazi ya kumsadidia Mshana kubeba TUNGURI?Jukwaa la uchumi kuna mtu alikuwa anatafuta kazi
Kazi ni kazi yakheKazi ya kumsadidia Mshana kubeba TUNGURI?
Hii ishu ya watakatifu inanichefua sana.Naunga mkono hoja!
Hivi, wizara inayo husika na utamaduni, wanajali utamaduni gani kama hawataki ku acknowledge utamaduni huu?
Wazungu wakiongea kwa simu ni sayansi, wakati sisi walikuta tayari tuna simu zetu za upepo (wakaziita ushirikina)
Wazungu wakienda makaburini, wanasema kuhiji au kuombea marehemu - sisi tulikuwa nautaratibu huu wa kwenda makaburini kuombea na kuwaomba marehemu, wakaita kuwanga makaburini.
Wafu wa kizungu ni watakatifu, wafu wa kwetu ni mizimu, daaah😳😳😳😭😭
Hujamaliza tu mzee baba?
Changanya na redwine, muziki wake muruwa sana.
Mshana Jr anajua habari yake
Ni ngumu kwakuwa ni taaluma zinazoendana
Huyo si mtaalam, mpaka masaa 24 ? Akitokea mtaalam anayejua kazi yake anaweza kuwaambia wanasyansi wa NASA, nipeni kamera mpya yenye mkanda mpya kisha kaeni hapa agizeni kahawa, narejea sasa hivi, jamaa anakalia ungo wake ( Apollo yetu asilia) na kupotea mbele yao. Kabla ya kumaliza kahawa jamaa anarudi na kuwakabidhi kamera iliyojaa picha za mandhari ya sayari ya mwezi. Wanafanya utafiti kwa muda mrefu na kugundua picha zote walizopewa ni halisi.Kuna jamaa alijitokeza akasema yeye kipaji chake in kugeuza mtu kuwa mdudu mfano mende ila anamrudisha kuwa mtu tena baada ya Massa 24,Jamaa wakamkatalia
Wangempa nafasi aanze na mende kwamza BTW on serious talk nahitaji mawasiliano na huyo jamaaKuna jamaa alijitokeza akasema yeye kipaji chake in kugeuza mtu kuwa mdudu mfano mende ila anamrudisha kuwa mtu tena baada ya Massa 24,Jamaa wakamkatalia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo si mtaalam, mpaka masaa 24 ? Akitokea mtaalam anayejua kazi yake anaweza kuwaambia wanasyansi wa NASA, nipeni kamera mpya yenye mkanda mpya kisha kaeni hapa agizeni kahawa, narejea sasa hivi, jamaa anakalia ungo wake ( Apollo yetu asilia) na kupotea mbele yao. Kabla ya kumaliza kahawa jamaa anarudi na kuwakabidhi kamera iliyojaa picha za mandhari ya sayari ya mwezi. Wanafanya utafiti kwa muda mrefu na kugundua picha zote walizopewa ni halisi.
Mpaka hapo jumuia ya kina Mshana Jr, watakua si wenzetu tena..[emoji23][emoji23]
Bro Mshana Jr kongamano hili litafanyikia wapi na vigezo vya kushiriki vikoja, na vipi mnaruhusu Wachawi binafsi kushiriki ama ni kwa vikundi vikundi? Asanate!Waafrika kuna mahali tumepigwa chenga ya mwili kisha tukaachwa solemba... Mabeberu (kwa jina pendwa la chama kikuu) walitukuta na sayansi yetu ya asili ikiwa imepiga hatua kubwa kwenye utafiti, matokeo na utendaji pia....wakaona tukiendelea nayo tutakuja kufanya makubwa na kuwaacha mbali na pengine hata kuwatawala...
Wakaona hatari na kitisho kinachowakabili... Wakaja na mbinu ya kukandia vya kwetu na kusifu vya kwao... Wakafanikiwa kwenye hili... Kishapo badala ya kutufunza vya kwao vizuri wakatunyima maarifa haya
Nasikitika kusema kwamba mwaka jana tulipanga kuwa na kongamano kubwa la wachawi na washirikina lakini lilishindikana kufanyika kutokana na serikali kutoitambua hii kaliba.... Lakini cha ajabu kuna mkoa mwaka huu kuna waganga wachawi zaidi ya mia walikusanyika na kutoa ultimatum kwenye jambo la kisiasa... Imagine huo ni mkoa mmoja tuu...!!! Kuna walozi zaidi ya mia
Kuna huyu ndugu yetu 4G LTE ameanza kutuletea simulizi za visa vya kushangaza visivyo na majibu huko ulaya.... Nina hakika visa kama hivyo vilivyokosa majibu ya kisayansi huko kwao hapa Africa vingepatiwa ufumbuzi kupitia kaliba ya ushirikina uchawi na ulozi.....
Sasa hivi tumebaki tupotupo tu... Ushirikina tunaambiwa ni mbaya na hauna faida... Sayansi tunayohubiriwa kuwa ndio mkombozi tunabaniwa maarifa yake... Hebu katembelee tume ya sayansi ya Tanzania utaniambia...
Sasa ili kuweza kuwa na way forward ni vema sasa tukaandaa msimu wa kazi za kishirikina, kichawi na ulozi ili kuvunja ile miiko na dhana dhanifu kuwa hii tasnia haina mema wala faida... Maonesho husika yatasaidia kuleta mwamko mpya wa elimu ya giza, utafiti na hata matokeo yenye faida kwa jamii
Maonesho husika yatasaidia kuondoa woga kwa baadhi ya mafundi na kufanya waoneshe kwa uwazi zana za maangamizi walizo nazo... Licha ya kuwa ni maonesho yatayakostua na kushangaza wengi lakini yatalifanya taifa lijulikane zaidi huku yakivutia utalii na kutoa msukumo wa wageni wengi zaidi kutaka kufahamu zaidi...
Najaribu kuandaa andiko mradi kisha nilipeleke wizara husika, pengine kipindi hiki tutasikilizwaView attachment 1172515