Maonesho ya kazi za kishirikina

Maonesho ya kazi za kishirikina

FB_IMG_1668014506648.jpg
 
Ukiona mzimu au mtu aliyekufa unakujia ndotoni. Nunua leso 3 nzuri, ongeza sarafu na chupa ya pombe. Viweke vyote kwenye sahani mpya nyeupe. Nenda kwenye kaburi lolote na uviweke huko na useme hivi: Samahani wewe si miongoni mwa walio hai tena. Nakatiza kuonana kutoka sasa. Nenda kwa safari yako tofauti na upumzike kwa amani.

Baada ya kusema hivyo mimina chupa ya pombe hapo juu ya kaburi. Nenda nyumbani na uoge kwa mimea ya kiroho kwa siku 3. View attachment 2296191
Mimea yabkiroho ndo ipoje?
 
Ukitaka kujitengeneza mvuto wa pesa ule mkali sana ukiwa nyumbani kwako ww tafuta MTULATULA chimba mizizi yake kisha kata vijipande 21 kisha kila siku utaichemsha mizizi 7 huku umeweka sarafu ya mia 500 kisha ikisha chemka ipua weka chini jifukize ukimaliza chukua ayo maji kaoge ukimaliza chukua iyo mia 500 nenda sokon kainunulie kitu chochote tumia hata ainashinda kabsa.Tumia hayo maelekezo mda wa siku 3 tu.Nakwambia hapo mambo yako ya kipesa yatafunguka kwa haraka.Utumiapo dawa iyo ndani ya dozi hutakiwi kufanya mapenzi paka izo siku 3 zipite.Asanten..
Why usifanye mapenzi? Inabid uh toe somo juu ya somo la mapenzi na nguvu yake. Maana kuna mwamba alisema nguvu huamishwa kwenye mapenzi sikuelewa
 
Mimea yabkiroho ndo ipoje?
Tamaduni nyingi zinaamini kwamba mimea hii ni takatifu kwa sababu ya roho zinazoishi ndani ya mimea yenyewe. Viongozi wa kidini na wa kiroho hutumia mimea hii, misombo na michanganyiko yake kuleta usawa katika ulimwengu wa kimwili na wa kiroho, kuponya akili na mwili, na kutoa mwamko wa kiroho.
MedPlants1850Lithograph_lg.jpg
 
Why usifanye mapenzi? Inabid uh toe somo juu ya somo la mapenzi na nguvu yake. Maana kuna mwamba alisema nguvu huamishwa kwenye mapenzi sikuelewa
Mapenzi kwa maana ya tamaa za kimwili ni kipangamizi kikubwa kwenye kutengeneza nguvu yoyote ya kiroho labda itumike kama sehemu ya ibada kwenye kafara
 
Enzi hizo nipo kikazi Hospitali fulani kubwa ya Serikali hapa Dar, Sasa nikiwa Night kuna muda panakuwa free kwahiyo nambonji kidogo, aisee mara nyingi nilikuwa nakabwa na likitu silielewielewi mpaka kuna siku ilikuwa too much yaani inajirudia ikabidi niogope hata kukaa peke yangu kwa ofisi...
 
Mapepo hayo
 
Wanaokataa hakuna uchawi...
 
maneno ya kulipiza kisasi ya voodoo Kulipiza kisasi kwa Maafa ya Kifedha Kunasema kulipiza kisasi kwa maafa ya kifedha ya Voodoo kunamaanisha kuumiza mtu kifedha na kusababisha kupoteza pesa, kufutwa kazi au kupata maafa ya kifedha. Kulipiza kisasi Laana Tahajia Husababisha mtu kuteseka kwa njia moja au nyingine kwa kutumia laana za kulipiza kisasi. Acha taabu na mateso yawapate adui zako kwa kutumia miiko ya kulipiza kisasi
FB_IMG_1669769538508.jpg
 
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Zawadi Msagaja [20] mkazi wa Kijiji cha Mahaha wilayani Magu aliyemzika mtoto wake akiwa hai kwa kile kinachoelezwa kuwa aliamriwa na shemeji yake ambae ni mganga wa kienyeji amtoe kafara mtoto huyo apate utajiri
20221130_040636.jpg
 
Ukitaka kujitengeneza mvuto wa pesa ule mkali sana ukiwa nyumbani kwako ww tafuta MTULATULA chimba mizizi yake kisha kata vijipande 21 kisha kila siku utaichemsha mizizi 7 huku umeweka sarafu ya mia 500 kisha ikisha chemka ipua weka chini jifukize ukimaliza chukua ayo maji kaoge ukimaliza chukua iyo mia 500 nenda sokon kainunulie kitu chochote tumia hata ainashinda kabsa.Tumia hayo maelekezo mda wa siku 3 tu.Nakwambia hapo mambo yako ya kipesa yatafunguka kwa haraka.Utumiapo dawa iyo ndani ya dozi hutakiwi kufanya mapenzi paka izo siku 3 zipite.Asanten..
Nilitarajia uwepo kwenye list ya mabillionea kidunia ila mbona hamna mbongo pale? the verdict is huu ni uongo
 
#mama huyo alikuwa

anachota mchanga uliochanganyika na damu kwenye ajali ya MWANZA nyakato sokon.
 
Njia Rahisi ya Kujua kama Nyumba yako Inaingiwa na Wachawi ni Kutumia Mzizi wa Mti wa Mkunde, Huu Mzizi Unauweka Sehemu ya Wazi ambayo Utauona uweke hapo kwa muda Mrefu tuu Siku usipoukuta Ujue Wachawi wanaingia Kuwanga Ndani kwako.!🙌🏻
 
Attachments

  • 20221226_081557.jpg
    20221226_081557.jpg
    44.9 KB · Views: 26
Back
Top Bottom