Armani William
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 253
- 771
Shida ya uloziMkuu samahani,
Naomba unicheki kwa +255657727112.
Nina shida na ww
Shida ya uloziMkuu samahani,
Naomba unicheki kwa +255657727112.
Nina shida na ww
YeahShida ya ulozi
Ndio anafanya nn hapo?True Story [emoji93][emoji171][emoji93]View attachment 2310701
Aisee!? Jinsi ya kuzitumia na kuipata?
Kwann tena?Sikushauri ujaribu
Aisee!?Hizo ni funguo na kufuli za shetani (serpent/nyoka) inabidi kwanza ufanye agano
MTULATULA ni mmea gani mkuu,hata kwa picha sio mbaya tuufahamuUkitaka kujitengeneza mvuto wa pesa ule mkali sana ukiwa nyumbani kwako ww tafuta MTULATULA chimba mizizi yake kisha kata vijipande 21 kisha kila siku utaichemsha mizizi 7 huku umeweka sarafu ya mia 500 kisha ikisha chemka ipua weka chini jifukize ukimaliza chukua ayo maji kaoge ukimaliza chukua iyo mia 500 nenda sokon kainunulie kitu chochote tumia hata ainashinda kabsa.Tumia hayo maelekezo mda wa siku 3 tu.Nakwambia hapo mambo yako ya kipesa yatafunguka kwa haraka.Utumiapo dawa iyo ndani ya dozi hutakiwi kufanya mapenzi paka izo siku 3 zipite.Asanten..
Hii ss tunaiita ndulele nadhan nipo sahihi?,halafu mkuu nahitaji ushauri wako jion naweza kukupigia?
Zelensiky na watu wake walianza kumloga Putin Toka mwezi Machi.Kuna huyu ndugu yetu @4G LTE ameanza kutuletea simulizi za visa vya kushangaza visivyo na majibu huko Ulaya.
Hii ni dawa ya jino!!!